akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.