Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.
 
Usomi wenu uko wapi kafiri wee...

Usomi unajipambanua katika kuisadiia jamii,sasa usomi wenu nyinyi makafiri ni katika kuibia serikali kisha ndipo mje mjiite wasomi?

Usomi wa KANISA uko wapi,wa kuwa hodari wa kutoa waraka kwa serikali??

Hovyo kabisa.
CHEKI HILI BOGAZ liloahidiwa Mabikira 72

Usomi wetu uko hapa;-

1. Ulisoma ule waraka kipindi cha DP World?... Uliona zile arguments?

2. Kwenye Elimu, unazijua best schools kama St. marry, St. Francis, St Charles Borromeo, Marian Boys, Canossa sec.

Sasa ntajie best school za hao wanaosema kila serikali ina wauaji

Eti Kafiri??

Kwahiyo Mungu HAKUMUUA Shetani ila akakuumba ww mwanadamu umuue binadam mwenzako eti ni kafiri ukapewe mabikira 72 Mbingunj au sio??
 
Fala mwenyewe kafiri wewe.

Nani hajui kuwa makafiri mmejaa chuki zisizo na kifani kwa waislam na uislam??

Sasa KWA taarifa yenu,huyu mama hamumfanyi chochote kile,hizo mimba zenu za chukii safari hii mtaenda labor mtake msitake.
Siwezi kubishana na MTU wa kuzimu...
Huyo mama yenu hatuna time naye kwasababu hapo alipo yupo chini ya watu wanamwendesha kama remote tu
 
Wapinzani ndio wakosaji zaidi ulitaka wawaone wengine hata kama hawajapanga uhaini wa Samia Must Go?
Nimetumia haki yangu ya msingi kuchangia kile nachoona hivyo nasoma comment za wengine pia kujifinza ila naona wewe ni mzee wa ligi
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Kwani yeye hamjui yule Padre mtekaji na muuaji wa mtoto Albino huko Geita? Pia hamjui yule Padre wa Bunda aliyeiba 1+ B za waumini wa huko? Wala asiseme ni viongozi tu ndio wanaojua hata yeye anajua.
 
Ungekuwa unatumia ubongo kufikiri usingetoa comment hii. Ndugu acha kujizima data kwani wanaotekwa na kuuwa ni wakristo peke yao.. Viongozi wa Kikristo wanatetea haki ya kuishi ya kila raia bila kujali dini ya mtu.
Mbona Padre aliteka na kuua Albino huko Geita!!?
 
Hawa jamaa huwaga wanatabia ya kuchagua upande, kipindi cha mzee wa Push-up midomo yao ilikuwa rikizo kana kwamba walikua hawaoni, hawasikii na wala hawajui hata kama walikuwa wanajuzwa na wanaojua kilichokua kinaendelea wakati ule.
Wakati ule kila mtu alikuwa kimya masheik, mapadri nk kwani yule nduli alikuwa muuaji hatari sana. Sasa angalau mama anasema anataka maridhiano lakini bado anahofu na Mbowe.
 
Kwani yeye hamjui yule Padre mtekaji na muuaji wa mtoto Albino huko Geita? Pia hamjui yupe Padre wa Bunda aliyeiba 1+ B za waumini wa huko? Wala asiseme ni viongozi tu ndio wanaojua hata yeye anajua.
Fikiri kidogo kabla ya kuandika
 
Jeshi linaintelijensia ya kujua vikao vya siri vya chadema ila watekaji hadharani na wauaji hawajulikani. Tafakuri hii. Serikali kupitia jeshi lake naamini huwa halishindwi kitu ni vile tu waweza kuwa wanajua yote.
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowahibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Ni kweli kabisa
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Wanauwezo wa kujua mambo ya vikao vya chadema ila hawana uwezo wa kuwajua watekaji na wauaji!??
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Amenena ukweli, ila habari kama hizi Bibi Chura Kiziwi na genge lake hawataki kuzisikia, chonde chonde Allah amuepushe Padre huyu na mabaya kutoka kwenye makucha ya genge hili dhalimu.
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Huyu father namkubali sana hajui kupindisha kwa yeyote yule mpaka kanisa lenyewe huwa analichana live. SAFI SANA
 
Back
Top Bottom