Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Imenilazimu nisome 'nonsense' yako yote hadi mwisho. Sina lazima ya kujuwa "religious dogma" kujuwa kwamba serikali kama serikali haina mamlaka ya kujitwalia sheria mikononi mwake.
Unachozungumzia wewe ni uhalifu unaofanywa na serikali. No wonder ulikuwa fan wa Magufuli. Hulka yako ni ya kujitwalia sheria mkononi, kwa nini? Wewe kama wewe, ndivyo ulivyo hapo ulipo. Hao unaoishi nao hapo mnaelewana kweli?
Hayo unayozungumzia wewe ni swala tofauti kabisa. Hata sijui kwa nini hupenda binaadam wenzio usiokubaliana nao waumizwe; kama ulivyo shangilia Tundu Lissu kupigwa risasi.
Hizi ni tabia za wapi hizi? Tanzania ya wapi unakotokea wewe?
Lakini bado sijakusikia ukizungumzia dini inayohimiza AMANI bila ya HAKI. Nao unataka sasa wakabamizwe na nani? Hivyo ndivyo dini yako inavyokuelekeza?
ni watawalaWhat is serikali?
Utachezea karate utie akili.basi kama wewe "siyo wa mzaha mzaha", natamani sana siku moja tungekutana mahala. Kwa sababu unaudhi sana.
Sasa sisomi uchafu mwingine ulioweka huko chini.
Mtu kama wewe ni duni kabisa. Huna lolote.Utachezea karate utie akili.
Saa100 watamla kichwa akihutubia muda wowote kuanzia sasaWakatoliki ni watu hatari sana.Rais asipokuwa mkatoliki hawaridhiki kabisa
Yaani unapoteza muda kujibizana na hilo chawa la mama yao.Mtu kama wewe ni duni kabisa. Huna lolote.
Unaniletea karate unakula chuma hapo hapo dakika hiyo hiyo.
Like I told you unatabia ya kuandika ujinga.
Kanisa Katoliki linaruhusu church clergies kuwa na party affiliations?
Twende kusomi, sio upuuzi unaotoa kichwani kwako.
Mkuu Mello, flash light hiyo wanaanza kukuwashia, kuwa makini kabisa usipuuze kama Kama Dr. Kitima, Mark this guy!Ndugu yangu MAXENCE MELLO mmiliki wa JAMIIFORUM unatukosea sana JF Members. Haiwezekani tetesi zenye nia mbaya kama hizi ukaendelee kuziacha tu zikienea kwa kasi kwa mwamvuli wa JF.
@moderators ondoeni hii thread hapa jamvini
Huyo jamaa ni wa ajabu sana.Yaani unapoteza muda kujibizana na hilo chawa la mama yao.
Ni kwamba sitaki offers zao tu, mtu wa mwisho DGIS mstaafu kaacha salamu niende nichague nafasi nirudi huko,Mtu kama wewe ni duni kabisa. Huna lolote.
Unaniletea karate unakula chuma hapo hapo dakika hiyo hiyo.
Viongozi gani? Angalia tabia za waafrika, mfano ni wale wasiri wa Traore. Hatupendani.Sasa mambo yanakwiva!
Sidhani kama viongozi wa dini watakaa kimya kwa hili jambo.
yalianza hivi hivi hatimaye ....
Hakuna aliyesalama.
shetani hajawahi kuwa na urafiki ndivyo ilivyo CCM.
Huyo padri mlevi anapenda wake za watu, hapo msilete siasa.Ccm hawana hatimiliki ya hii nchi, nchi ni yetu sote kila raia hata asiye mwanasiasa ana haki ya kuishi kwa usalama na uhuru.
Mkuu kuwa makini, usitafute mchawi wako, mmark huyu jamaa, usipuuze!Sio ndugu yako tuu, na ww soon tunakuja kukupa dozi, tunakuf!®@ kwanza afu tunakuacha uraiani kama mwezi hv afu tunakuja kukuua rasmi.
You very well know that we cannot argue about this;...not being "well read."Imaga hoja ni mtu wa kujiandikia vitu kutoka kuchwanj kwako, you are ‘not well read
Ndiyo sababu nasema, kama siyo kilevi kibaya sana kinachohangaisha akili yako; basi huko kichwani mwako utakuwa una madudu machafu sana.Mengine ni kwa serikali haya mambo ya kuumizana hayapendezi
Una HOJA....Wakatoliki ni watu hatari sana.Rais asipokuwa mkatoliki hawaridhiki kabisa