Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

So sad,Dr Kitima ni mtu makini nimemjua toka akiwa SAUT ni mtu wa watu hana shida,ni mpenda haki.Kama kweli kuumizwa na binadamu basi waliotekeleza hilo hawatakuwa salama maana huyo ni kiongozi wa kiroho na mpakwa mafuta.Kuna kitu ambacho huwa hatujui kiongozi wa dini husikubali hakunyoshee kidole au anene vibaya juu yako ni raana mbaya sana.Ata kama kakukusea jiepushe naye kwa amani.Mwenyezi Mungu akuponye haraka
 
I dont thinf fr kitima has access to sensitive info from gov, if he had it , that would be another case, but then gov has gone soft, cant handle criticism anymore.
I know it gov hand but it went too far, and it not good in the future
Would you classify Dr Kitima as a neutral clergy who has never overlapped his institutional (Catholic Church) political impartiality.

Can you defend him being a neutral clergy in the court of law based on his openly close association with members of opposition partty?
 
Majambazi wa Mama @ work
 
Yaani hapa Sasa inaitwa mshikwa na ngozi ndiye MLA nyama,

Hata Kama kapigwa na watu tofauti, Ila lawama zote tunazisongeza pale Lumumba.
Itakuwa inasemekana kwa Uzoefu wetu tunavyojuaga tangu kitambo 🤣🤣🤣🤣 !
Kiswahili ni kizuri sana Wallahi 😄😅🤣🤣 !
 
Even so does it justify the mean’s ?!
 
Duh huko tunakoelekea sio kuzuri Sana, kama utamu wa madaraka ndo huu hatari
 
Mungu atusaidie tusije kuingiza concept za uislamu na Ukristo . Kwani maamuzi ya kiongozi mkuu yasitafsirike hivyo . All in all maombi na kuliombea taifa ndiyo utatuzi . Eeh! Bwana naomba neema zako na rehema zako ziwe nasi kwa taifa hili . Wewe hakuna linaloshindikana Kwako yamkini katika haya yanayotutokea ni katika kutufundisha au kukutukuza wewe zaidi, usiruhusu waovu wawatendee mabaya wenye Haki wako eehi Bwana, maaskofu , Wachungaji , na wale wanaolitaja Jina lako . Amen
 
Acha usenge kwenye mambo ya msingi
 
I dont thinf fr kitima has access to sensitive info from gov, if he had it , that would be another case, but then gov has gone soft, cant handle criticism anymore.
I know it gov hand but it went too far, and it not good in the future
Never

Kuna jamaa wenye mipango yao na imetibuliwa sasa wanapiga pembeni wakilink na gov

Anyways…. Fr Kitima get well soon
 
Jamani c tulikubaliana JPM Ndo alikuwa katili mpaka watu kufurahia kifo chake na kusema mama ameiponya nchi, hii imetoka wapi tena wakuu 😎
Haahaa watu walisahau aliyebaki ndo alikuwa hatari zaidi, hapa ndo kumeanza kukucha....
 
Kama hadi mapadri nao wameanza kuwa victims basi nobody is safe
Serikali zote duniani, hujihami na kujitetea isiondokewe madarakani kwa heri au shari. Kaa chonjo. Hii ndiyo Africa, the dark continent.
 
Utetezi kwa magufuli haujitoshelezi,ikiwa alikuwa dhamira ya kupambana na ufisadi Iko wapi Ile mahakama ya wahujumu uchumi aliyoiahidi,mbona report ya CAG Asad ya upotevu wa tirrion 1.5 aliitupilia mbali na kumtimua kazi.Hayo madege ya Air Tanzania nani anajua yalinunuliwa kupitia zabuni ipi n.k.Ukiacha hayo zile maiti zilizokuwa zikiokotwa Coco beach na mto Wami tukiambiwa ni za wahamiaji haramu kutoka Ethiopia unataka tuendelee kuamini hivyo?.Utekwaji wa akina Mo,Roman mkatoriki,Ben-saanane,Azory Gwanda tukubali walikuwa wakijeteka,hapana shida mbingu zinajua kilichokuwa kinaendelea,tukutane siku ya hukumu.
 


Hakuna serikali ya kumzaba mtu vibao ikamaacha ... Hao ni wahuni tu.

Hata yule Jama bonge alitaka kutekwa na wale mabauna walisema ni serikali, but kikowapi ??
Watu wakaja kukamata ni wengine tofaut kabisa.
 
Never

Kuna jamaa wenye mipango yao na imetibuliwa sasa wanapiga pembeni wakilink na gov

Anyways…. Fr Kitima get well soon
Tatizo uovu Hauna chama Wala dini, wakianza kuandamwa viongozi wa ccm watu wasilielie
 
Kwa sababu nimekuwekea vipengele vya Canon law au hata kama sijaweka vyote.

Ni wewe sasa ulitakiwa kunifunza na wengine kwenye jukwaa. Kuwa na upande wa siasa kwenye kanisa ni sawa.

We all learners, hata mimi ni mwanafunzi. Ninaowapa majibu ya hovyo uwa nishajiriidhisha ni mataahira.

Kama wewe unasomo toa, mimi sio mtaalamu wa Canon law.

Iła nachojua kanisa katoliki halina upande wa chama cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…