Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Hongera, utakuwa unajua kitu kwenye hili jambo
 
Kwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.

CCM na serikali yake ni laana.
Mpigane wenyewe huko msingizie serikali ...Hawa kugombea mademu na waumini ni mambo ya kawaida sana...huende ni mume mwenza amemshambulia
 
Nmeona sehemu umeandika utoto na kutishia mtu. Kubishana kwa hoja ndo mpango mzima humu JF siyo kutishana kwa vioja.
 
Tumefika pabaya Sasa!
 
Ubaya wa JPM umeendelezwa na Samia, sio kwamba ubaya wa Samia ndio unafuta maovu ya JPM. Hata kama alikua hafanyi yeye, kukaa kimya huku maovu yantendeka means alikua anasupport.
Anahusika moja kwa moja maana amepuuza matukio mengi sana ya namna hii ambayo kila mtu anaona
 
Ingefanyika organisation kila siku wawe wanafyekwa askari hata kumi kila mkoa, mpaka October watakua wamebaki wachache. Tuanze na haya ma form four failures tumalizane nayo yapukutike kabisa.
 
CCTV camera zipo TEC wataleta picha za ushahidi.
 
Unaishi nchi gani Mkuu? Mbona kama vile huelewi mambo
 
Wrong references!

Padre/Maaskofu wameongelea sana kuhusu haki!

Nawe umezungumzia Canon Law, ambayo kimsingi, inasisitiza katika.

1. Moral or Ethical Advocacy in things like Human rights, Justice, dignity etc.

2. Public policy input!
Priest are not binded to offer opinions in public discourse (debate on prevailing situation, marriage etc).

Mifano unayoleta, Iko tofauti kabisa na mada iliyopo! Ungetupa mfano wa Padri/Askofu/ aliyepigwa kwa kosa la kutoa maoni kuhusu HAKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…