Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Hatimaye c anguko tu bali ni kupotea rasmi kwa ccm
 
Uzuri Jesuit sio wa mchezo mchezo, kazi kazi hii movie inaanza kuwa tamu sasa..!!

Tutafute popcorn 🍿😹
 
Mnapenda kujipa moyo sana ila mlipogusa ni Pabaya
Pabaya wapi? Who is Kitima? Mimi niko RC namfahamu vizuri sana huyo Kitima, inasemekana alikuwa analewa na wenzake hapo TEC Kurasini baada ya kikao na wenzake wa dini zingine labda aliwaudhi kwa lugha zake kama za mnyaturu mwenzake Lissu!! Who knows ngoja tusubiri upelelezi wa Polisi na uzuri amepigiwa kwenye bar ya TEC ukweli utajulikana tu.
 
Mkuu napata ukakasi sana unapojitahidi kuitenganisha CCM ya sasa na haya madudu ya ukatili yanayoendelea kipindi hiki.
 
Pole sana Kwa my former boss Mungu ampatie rejesho kuu la afya
 
hata wanene kwa lugha gani serikali ya sisiemu haitaeleweka kwa wananchi na dunia kwamba hawahusiki na hili tukio hasa ukizingatia matukio mengi yanayoendela kwa hivi sasa ya kuwapiga wananchi na kuteka hadi kuwabambikizia kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…