Kama hili litasaidia kurekebisha hali hatarishi inayotunyemelea kama taifa, nami nitashukuru sana. Lakini kuna hatari pia kwamba jambo hili hili linaweza kuchochea mfarakanyo mkubwa zaidi ambao kwa miaka mingi tulibahatika kuuepuka.CCM wametingisha meza yenye vinywaji vya gharama safari hii
Elimu ili muanze kelele wawekezaji wakimbieTundu lissu ana jeshi Gani? Ule ni mpango wa ccm kumzuia lissu asitoe elimu kwa umma, mtaani hata wanaccm wanasema Ile ni kesi ya kisiasa
Unyama wa hali ya juu.
Yaani wewe kila siku tu ni JPM alisingiziwa!JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Inasikitisha sana mkuu 😭Yaani wewe kila siku tu ni JPM alisingiziwa!
Umerogwa au?
Sana.Inasikitisha sana mkuu 😭
Ukombozi ulishafanywa na Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume. We ms...n.ge na wenzako mnapigania ukombozi wa makalio yenu, mbaaaaaf zako!mse....nge weye hapo.
kwamba watanzania wote ni mapunguani.
la hasha bali ni wewe na familia yako nyumbu wewe
l
Kama kaamua kuufuata na ajue na yeye atakufa madarakani kwa mwenzake. Maana asifate matendo tu ya kuuwa afate na njia ya kifo Chake pia.Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Hakika.....walidhamiria kumuu.......Kitu kizito kichwani kam sio Mungu angeanguk hapo hapo.Mungu ni mwema baba kitima atapona na kuendelea na kazi zake za utume.
Ngoja tuoneDini mbaya Sana sasaiv wataanza kugeukana huko juuu tusikilizie milio tuuh