Pre GE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa

Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa pia SGR, Tanesco na Hata Ikulu ikiwezekana ili wageni wakae hapo, hii ni kwa sababu moja tu ambayo ni, Majungu na wivu wa kijinga!

Wenzetu wa nchi zinazoendelea, Kila kukicha wanazalisha mawazo mapya ya kipi wafanye ili kitokee kikubwa zaidi,

Hii ni tofauti kabisa na nchi yetu, watu wamejaa wivu na ujinga mwingi, wapo tayari kushinda mitandaoni kumjadili mtu na kumnanga na Bado kusiwe na matokeo yoyote

Ni ajabu kama nchi isimame kisa Paul Makonda ameaminiwa na Rais kupewa ukuu wa mkoa

Umasikini wa Watanzania unatokana na ujinga wa wanaoitwa watetezi wa wananchi kwa maana kwamba wao ni mbadara wa wanaotupeleka chaka na kutufanya tuwe na MAISHA magumu!

Ikiwa mambo haya ni kweli ni yamekuwa agenda kwa wapinzani, basi tunaupinzani wa hovyo na usio na malengo yoyote na nchi yetu

Okay! Tufanye Makonda ameondolewa kwenye nafasi hiyo, wewe unapata faida Gani kama mpinzani, Makonda amekuwa nje ya mfumo wa serikali Karibu miaka miwili unusu hivi, wapinzani, kwa kipindi hiko mmebadirisha nini na kipi kimeshindikana kufanywa na nyinyi baada ya Makonda kupewa nafasi aliyopo?

Tukumbushane tu kwamba, Jambo linaloamriwa na MUNGU mwenyewe kama ambavyo mmeamini Mbowe kuwepo hapo kama M/kiti wa chama chetu CHADEMA kwamba ni Mungu alimpa, ndivyo anaweza kufanya kwa Makonda na kwa mwingine

Suala la dhambi mnayoiona kwa macho yenu kwa Makonda, mkumbuke pia Iko dhambi pia ambayo hamjawahi kuiona kwa mliowaamini kuwa wao ni malaika, lakini jicho la Mungu linajua na kwa wote hawasitahili kuwepo kama mnavyomwombea Makonda

Fanyeni kazi acheni Majungu na wivu wa kijinga!

Makonda chapa kazi usisikilize kelele za chura

Niwakumbushe hivi!

Iwapo Mungu amekuwa upande wa Makonda, mtaomba mno Dua zenu na hazitafanya lolote dhidi yake
Km we ni wa hovyo kubaliana na hali yako, ila we bwege usiite watanzania watu wa hovyo, we ni mbwa nini?
 
Jinyonge ufe uzikwe! Maana si kwa hasira hizi!

Mimi Huwa nawafahamu watu wajinga kama nyinyi wanapokutana na jambo linalowakera, Huwa hawakubali zaidi ya kichukua hatua ya kujinyonga" unangoja nini wewe bwege kujinyonga uzikwe?
 
Wapinzani wanapokosea ni kushindana na hayati Magufuli.Magufuli hata sasa akiwa kaburini anakubalika na watu maskini wa nchi hii ambao ni zaidi yarobo tatu ya watanzania wote.Kumnanga ni kupoteza idadi kubwa ya wapiga kura.Wajitafakari.
 
Mhalifu anaposhoshwa hatuna budi Kufurahia.
Mkuu!

Suala la dhambi mnayoiona kwa macho yenu kwa Makonda, mkumbuke pia Iko dhambi pia ambayo hamjawahi kuiona kwa mliowaamini kuwa wao ni malaika, lakini jicho la Mungu linajua na kwa wote hawasitahili kuwepo kama mnavyomwombea Makonda
 
Mkuu!

Suala la dhambi mnayoiona kwa macho yenu kwa Makonda, mkumbuke pia Iko dhambi pia ambayo hamjawahi kuiona kwa mliowaamini kuwa wao ni malaika, lakini jicho la Mungu linajua na kwa wote hawasitahili kuwepo kama mnavyomwombea Makonda
Hakuna alie Malaika lakini huyu Bashite na wale wanaombeba wote ni Wahalifu tu na Jinai hai expire iko siku watapandishwa Kizimbani pamoja na akina Biswalo Mganga love ni kundi moja.
 
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa

Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa pia SGR, Tanesco na Hata Ikulu ikiwezekana ili wageni wakae hapo, hii ni kwa sababu moja tu ambayo ni, Majungu na wivu wa kijinga!

Wenzetu wa nchi zinazoendelea, Kila kukicha wanazalisha mawazo mapya ya kipi wafanye ili kitokee kikubwa zaidi,

Hii ni tofauti kabisa na nchi yetu, watu wamejaa wivu na ujinga mwingi, wapo tayari kushinda mitandaoni kumjadili mtu na kumnanga na Bado kusiwe na matokeo yoyote

Ni ajabu kama nchi isimame kisa Paul Makonda ameaminiwa na Rais kupewa ukuu wa mkoa

Umasikini wa Watanzania unatokana na ujinga wa wanaoitwa watetezi wa wananchi kwa maana kwamba wao ni mbadara wa wanaotupeleka chaka na kutufanya tuwe na MAISHA magumu!

Ikiwa mambo haya ni kweli ni yamekuwa agenda kwa wapinzani, basi tunaupinzani wa hovyo na usio na malengo yoyote na nchi yetu

Okay! Tufanye Makonda ameondolewa kwenye nafasi hiyo, wewe unapata faida Gani kama mpinzani, Makonda amekuwa nje ya mfumo wa serikali Karibu miaka miwili unusu hivi, wapinzani, kwa kipindi hiko mmebadirisha nini na kipi kimeshindikana kufanywa na nyinyi baada ya Makonda kupewa nafasi aliyopo?

Tukumbushane tu kwamba, Jambo linaloamriwa na MUNGU mwenyewe kama ambavyo mmeamini Mbowe kuwepo hapo kama M/kiti wa chama chetu CHADEMA kwamba ni Mungu alimpa, ndivyo anaweza kufanya kwa Makonda na kwa mwingine

Suala la dhambi mnayoiona kwa macho yenu kwa Makonda, mkumbuke pia Iko dhambi pia ambayo hamjawahi kuiona kwa mliowaamini kuwa wao ni malaika, lakini jicho la Mungu linajua na kwa wote hawasitahili kuwepo kama mnavyomwombea Makonda

Fanyeni kazi acheni Majungu na wivu wa kijinga!

Makonda chapa kazi usisikilize kelele za chura

Niwakumbushe hivi!

Iwapo Mungu amekuwa upande wa Makonda, mtaomba mno Dua zenu na hazitafanya lolote dhidi yake
Sawa msemaji wa chief wako mpya wa hapo kwako😆
 
Wapi au lini limetolewa tamko rasmi la upinzani la kumjadili Makaonda? Makonda anajadiliwa zaidi na wanaccm wenzake ambao anazinguana nao kila siku. Na hata waliofanya mipango hadi akamwagwa ni wanaccm wenzake.
 
Napongeza kitendo cha Mh Raisi kumteua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Ninaimani na uteuzi wake kwa Jiji la Arusha kwa sababu mbalimbali ntakazo taja kwa uchache.
Kwasababu ya uthubutu alio nao ndug Makonda na Imani ataenda kuondoa mizizi iliyojichimbia kwa mda mrefu kwa baadhi ya watendaji,ambao walishakuwa miungu watu.Mfano wa kwamishaji wote wa miradi ya kimaendeleo kwa maslahi yao binafsi nadhani angeanza nao.Rejea sarakasi za ujenzi TU wa stand ya Jiji la Arusha.
Kero ya ardhi maeneo mengi ya Jiji la Arusha ikiwemo watu kuuziana viwanja mara mbili mbili naimani atalitatua.
Usikilizaji wake wa kero za wananchi utaibua madudu mengi ya watendaji na wabadhirifu wa mali za uma.
Miradi mikubwa kama uwanja wa Samia naimani atasimamia vizuri na kwa wakati tukumbike kipindi akiwa Dar alifanya sana usimamizi wa miradi mbali mbali.
Atawabadilisha maindi set viongozi wengi wa mkoa wa Arusha ambao wengi ni kama hawapendi mabadiliko mfano usafiri unaotumika Arusha ni wa hovyo hakuna mfano(Vifodi vimepitwa na wakati).
Kero ya uchafu uliokidhiri Arusha naimani kero hii inaenda kupata ufumbuzi.
Wezi/vibaka walio zagaa na kulewa sifa kwamba wameshindikana sasa wakatafute kazi zingine au wakimbilie kusikojulikana.
Tumuunge mkono Makonda.
 
Cshida huyo kajivika uchawa mpya baada tu ya keka jipya😃
Uchawa ndiyo mdudu Gani mkuu!

Utanitafuta mno na hutonipata kwenye uchawa wa mtu yeyote

Namshukuru Mungu amenipa vingi na sitegemei kulamba miguu ya yeyote! Hata Mbowe akituzingua sisi mashabiki wake, namchana tu
 
Wewe umefanya nini cha kuisaidia nchi hii. Unataka uwapangie cha kusema na kutenda? Hopeless.
Yaan hii inaonyesha wazi kuwa wapinzani wa Tanzania wanamuogopa sana Dogo makonda, halafu ni washabiki wa CCM. Hapo VIP, unategemea eti waiondoe CCM madarakani? Kama na wao ni washabiki wa CCM?
 
Back
Top Bottom