Sekunde? Kwani tumemaliza lini matatizo ya wananchi, Je madai ya katiba tumefanikiwa? Kwa nini kuanza mijadara isiyo na tija na kuacha yenye tijaUlipendelea watumie sekunde ngapi?
Kwa nini kashushwa cheo? Au alijiona yeye ni Rais?Napongeza kitendo cha Mh Raisi kumteua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Ninaimani na uteuzi wake kwa Jiji la Arusha kwa sababu mbalimbali ntakazo taja kwa uchache.
Kwasababu ya uthubutu alio nao ndug Makonda na Imani ataenda kuondoa mizizi iliyojichimbia kwa mda mrefu kwa baadhi ya watendaji,ambao walishakuwa miungu watu.Mfano wa kwamishaji wote wa miradi ya kimaendeleo kwa maslahi yao binafsi nadhani angeanza nao.Rejea sarakasi za ujenzi TU wa stand ya Jiji la Arusha.
Kero ya ardhi maeneo mengi ya Jiji la Arusha ikiwemo watu kuuziana viwanja mara mbili mbili naimani atalitatua.
Usikilizaji wake wa kero za wananchi utaibua madudu mengi ya watendaji na wabadhirifu wa mali za uma.
Miradi mikubwa kama uwanja wa Samia naimani atasimamia vizuri na kwa wakati tukumbike kipindi akiwa Dar alifanya sana usimamizi wa miradi mbali mbali.
Atawabadilisha maindi set viongozi wengi wa mkoa wa Arusha ambao wengi ni kama hawapendi mabadiliko mfano usafiri unaotumika Arusha ni wa hovyo hakuna mfano(Vifodi vimepitwa na wakati).
Kero ya uchafu uliokidhiri Arusha naimani kero hii inaenda kupata ufumbuzi.
Wezi/vibaka walio zagaa na kulewa sifa kwamba wameshindikana sasa wakatafute kazi zingine au wakimbilie kusikojulikana.
Tumuunge mkono Makonda.
Tangu lini ulipoiacha ccm, kunena kwako tu hapa kunadhihrisha kuwa wewe ndiye.Naichukia sana ccm ila kwa huu upinzani wa sasa ni sawa na upumbavu kabisa. Hata hiz ruzuku wanapewa ni ubadhilifu wa public funds
AlipoendaWapi Lemutuz
Makonda yupo yupo sana tu, hao wapinzani wanadhani ni kazi yao kumchagulia rais majina ya anayowateua.Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa
Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa pia SGR, Tanesco na Hata Ikulu ikiwezekana ili wageni wakae hapo, hii ni kwa sababu moja tu ambayo ni, Majungu na wivu wa kijinga!
Wenzetu wa nchi zinazoendelea, Kila kukicha wanazalisha mawazo mapya ya kipi wafanye ili kitokee kikubwa zaidi,
Hii ni tofauti kabisa na nchi yetu, watu wamejaa wivu na ujinga mwingi, wapo tayari kushinda mitandaoni kumjadili mtu na kumnanga na Bado kusiwe na matokeo yoyote
Ni ajabu kama nchi isimame kisa Paul Makonda ameaminiwa na Rais kupewa ukuu wa mkoa
Umasikini wa Watanzania unatokana na ujinga wa wanaoitwa watetezi wa wananchi kwa maana kwamba wao ni mbadara wa wanaotupeleka chaka na kutufanya tuwe na MAISHA magumu!
Ikiwa mambo haya ni kweli ni yamekuwa agenda kwa wapinzani, basi tunaupinzani wa hovyo na usio na malengo yoyote na nchi yetu
Okay! Tufanye Makonda ameondolewa kwenye nafasi hiyo, wewe unapata faida Gani kama mpinzani, Makonda amekuwa nje ya mfumo wa serikali Karibu miaka miwili unusu hivi, wapinzani, kwa kipindi hiko mmebadirisha nini na kipi kimeshindikana kufanywa na nyinyi baada ya Makonda kupewa nafasi aliyopo?
Tukumbushane tu kwamba, Jambo linaloamriwa na MUNGU mwenyewe kama ambavyo mmeamini Mbowe kuwepo hapo kama M/kiti wa chama chetu CHADEMA kwamba ni Mungu alimpa, ndivyo anaweza kufanya kwa Makonda na kwa mwingine
Suala la dhambi mnayoiona kwa macho yenu kwa Makonda, mkumbuke pia Iko dhambi pia ambayo hamjawahi kuiona kwa mliowaamini kuwa wao ni malaika, lakini jicho la Mungu linajua na kwa wote hawasitahili kuwepo kama mnavyomwombea Makonda
Fanyeni kazi acheni Majungu na wivu wa kijinga!
Makonda chapa kazi usisikilize kelele za chura
Niwakumbushe hivi!
Iwapo Mungu amekuwa upande wa Makonda, mtaomba mno Dua zenu na hazitafanya lolote dhidi yake
Ahahahah...mkuu ungejua nilipotoka na chadema na jinsi cdm ilivyoniweka misukosukoni halaf leo hii wanakaa kudandia hija za kifalafala!. Huwez elewa kamandaTangu lini ulipoiacha ccm, kunena kwako tu hapa kunadhihrisha kuwa wewe ndiye.
Poa poaUchawa ndiyo mdudu Gani mkuu!
Utanitafuta mno na hutonipata kwenye uchawa wa mtu yeyote
Namshukuru Mungu amenipa vingi na sitegemei kulamba miguu ya yeyote! Hata Mbowe akituzingua sisi mashabiki wake, namchana tu
Ubaya wa wanachadema ndiyo huo Sasa mkuu, ukiponda mienendo Ya chama tu, unaonekana si mwenzao kwa sababu kwao uhuru wa kokosoa haupo, wanaccm wakifanya hivi wanaoitwa machawaAhahahah...mkuu ungejua nilipotoka na chadema na jinsi cdm ilivyoniweka misukosukoni halaf leo hii wanakaa kudandia hija za kifalafala!. Huwez elewa kamanda
Umemaliza chief. Hii ndio shida kubwa. Mija ya sifa kubwa inayoijengea heahima ccm afrika, ninuwezo wa ku come together licha ya kutofautiana mitazamo, yan mnapingana lakin kwenye jambo la kuwaleta pamoja mnaweka tofauti zenu pamoja mnapambania maslahinya chama kwanza mengine yanakuja baadae. Hii ndio demokrasia ya kweli. Sio kuhubiri demokrasia ambayo kiuhalisia haipo. Chadema ..Ubaya wa wanachadema ndiyo huo Sasa mkuu, ukiponda mienendo Ya chama tu, unaonekana si mwenzao kwa sababu kwao uhuru wa kokosoa haupo, wanaccm wakifanya hivi wanaoitwa machawa
Ikiwa mambo haya ni kweli ni yamekuwa agenda kwa wapinzani, basi tunaupinzani wa hovyona usio na malengo yoyote na nchi yetu