Pre GE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakupinga kusema umaskin wa watanzania unaletwa na viongozi. Umaskini wa watanzania unasababishwa na watanzania wenyewe kwa kukumbatia ujinga.
 
Kwani chiembe ni mpinzani??
 
Umeachika?
 
Wewe msukuma Toka usingizini, Magufuli ni mfu mwaka wa tatu huu. Wewe unaendelea kuota TU.
 
Upinzani hawa hawa kina chadema, ACT WAZALENDO, nk, ndio unaowazungumzia, au kuna wengine?
Wakiongelea maswala ya msingi, sasa porojo ataongelea nani? Hawa wapinzani wetu bi weupe kama sanda!
 
Moderate naomba mbadirishe heading isomeke...Pale upinzani unapoacha kujadili mambo ya msingi na kuweka nguvu Yao kumjadili Makondo
Wapinzani hufanya mambo yao kwa vikao. Mfano maandamano, hayo ni mambo ya wapinzani. Ni wapi chama kimekaa na kumjadili Makonda? Huna uelewa wa mambo zaidi ya mihemko, ndio maana umebeba mijadala ya huku mitandaoni unaona ni mambo ya upinzani.

Hii nchi ina miaka zaidi ya 60 na Bado Iko kwenye kundi la nchi masikini, huko kote ni kwa sababu ya kumjadili huyo Makonda? Acha story za kihanithi, kama unamkubali Makonda mkubali kimpango wako.
 
Huyo mpinzani uliyemsikia akim discuss Makonda ni Nani?
Kama ulimsikia mzee Mdee na Kishoa jua tu kwamba hao Ni Wana CCM wenzio.
 
Ndio maana watu wanaenda kwa mwamposa.
Hili nchi inakera sana.
Ila huwa najiuliza, nahawa viogzi pia ni watanzania?
 
Jinyonge ufe uzikwe! Maana si kwa hasira hizi!

Mimi Huwa nawafahamu watu wajinga kama nyinyi wanapokutana na jambo linalowakera, Huwa hawakubali zaidi ya kichukua hatua ya kujinyonga" unangoja nini wewe bwege kujinyonga uzikwe?
Kweli wewe hamnazo, wewe uko sawa na Bashite
 
Rubbish
 
Upinzani hawa hawa kina chadema, ACT WAZALENDO, nk, ndio unaowazungumzia, au kuna wengine?
Wakiongelea maswala ya msingi, sasa porojo ataongelea nani? Hawa wapinzani wetu bi weupe kama sanda!
Sasa kwanini wewe mweusi usiwe mpinzani tukuchague wewe
 
Hatuna wapinzani Tanzania ila tuna magenge ya wahuni. Wapinzani wetu ni wa kwenye keyboard wanataka wachukue nchi bila kutoa Jasho kabisa. Wapinzabi wetu wanaogopa kwenda jela kwa kutetea wananchi, mwenzao wa Senegal alikuwa jela na ametoka jela amechukua nchi. Kwa sasa tunahitaji chama kipya cha upinzani ambacho kitakuwa serious kuwatetea wananchi na si hivi vilivyopo sasa vyenye viongozi wanaonunulika kirahisi.
 
Zamani CCM walikuwa wanacheza ngoma ya upinzani..upinzani walikuwa wanaibuka na hoja za moto haswa..wakinyimwa nafasi bungeni wanarudi mtaani..hii kitu ilibadilisha hadi mindset ya Samwel Sitta..

Kikwete kutwa alibadilisha viongozi wake kwa matamko ya upinzani tu..ilikuwa ni balaa..kwa sasa upinzani unademuka ngoma ya CCM..wapo milango ya lumumba kusubiria taarifa..wamekuwa kama reporters kwa sasa..likiibuka hili kule lumumba wanalidaka wanatuletea mbio..
 
We
wewe umejiweka upande gani miongoni mwa watanzania unao waongelea?!au wewe mwenzetu ni mrundi ?.
 
Tuache mambo ya msingi tumjadiri Makonda kwa siku kadha wa kadha?
Umezuiwa na nani kujadili utakacho ww? Jadili mambo ya ajira, afya, elimu nk. Acha kupamia mijadala ya wanaume.
 
Kikwete alibadili viongozi Kila siku kwa ajili ya upinzani, huyu wa sasa anabadili viongozi Kila siku zaidi ya Kikwete, na upinzani hauko bungeni, je ni Yale maandamano ya wapinzani ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…