Pre GE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe msukuma Toka usingizini, Magufuli ni mfu mwaka wa tatu huu. Wewe unaendelea kuota TU.
Hoja yako mkuu haizuii ukweli kupenya kwenye vichwa vyenu
 
Wapinzani wako ndani ya CCM,wakipanga mikakati na kufanyiana timing na figisu wao kwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…