Pambana sana ujenge kabla hujaanza kusomesha

Gen Z walioanza kazi hawatakuelewa maana wanataka wanunue Altezza ,Crown ,CX5 ,X3.
Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..

Mfano nina jamaa angu analipia kodi ya nyumba laki 5 kwa mwezi na anatembelea Range...ana watoto wawili wanasoma shule nzuri tu na ana biashara yake.

Maisha hayana formula wazee,
 
Gen Z walioanza kazi hawatakuelewa maana wanataka wanunue Altezza ,Crown ,CX5 ,X3.
Angesisitiza umuhimu wa kuwa na kipato imara mkuu..alicho fanya ni generalization as if kila mtu nyumba ndo mafanikio..

Mfano nina jamaa angu analipia kodi ya nyumba laki 5 kwa mwezi na anatembelea Range...ana watoto wawili wanasoma shule nzuri tu na ana biashara yake.

Tusikaririshane wazee,
 
Wazee sina cha kuwa elezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
Huu ni ukweli, kuna fala mmoja wa mabaka mabaka wale-mwenyewe alikua anasoma anatafuta certificate na diploma, mdogo wake anamsomeaha yeye, nyumbani ana familia ya mke, watoto 2, dada wa kazi, dada wa mke, mdogo wake na yeye mwenyewe. Mshahara kakopea.......manina siku zingine nauli ya kwenda job hana. Maisha haya.

Kiukweli, unatakiwa uwe na jengo lako ambamo hulipi kodi. Kisha somesha watoto wako. Otherwise maji utaita mma.
Kodi ya nyumba mil 3 kwa mwaka, ada ya wanao mil 3 kwa mwaka. Mshahara net laki 8 lazima uimbe haleluya
 
Kijana mbona unapotosha wenzako? Unanufaika na nini? nani anae watuma?
 
Hizo shule nzuri huwa ni zipi?
 
Kwa nini unataka kugoma kujenga kijana?
 
Kwa nini asiongeze vyanzo vya ziada vya mapato?? Idea za kimaskini sana hizi.
 
Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked

😂😂😄
Ni kweli ukizingatia unasomesha kwa kufuata Mkumbo lazima uwe Fucked.

Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa Dunia ya sasa imeshageuka.
Kuwekeza kwenye elimu hizi za darasani Ambazo unategemea uajiriwe ndipo iwe relavanti my friend utajuwa fucked square
 
Shida ni mawazo mkuu, mku kakopa karibia 30m kaenda kujenga. Hajafungua hata duka la mil 2. Mimi siwezi kukopa nikajenge aisee! Bora nikafungue genge
Aisee,sijui ni nani aliwapa watu hii mentality ya kuwaza kujenga tu badala ya kuongeza vyanzo vya mapato..ndo maana wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi wanapiga sana hela...kila mtumishi anaye anza kazi..anachowaza ni kukopa na kujenga
 
Hahaa,mi nmejenga mkuu..lakini sioni kama ni mafanikio kulingana na ukubwa wa malengo yangu niliyo jiwekea.
Unajua nini, hapa Bongo mkakati wa watu wengi ni unasoma unapata kazi, unaoa, unajenga, unasomesha, unanunua gari basi ukiena kijijini kwenu una gari yako. Unaonekana umeyapatia sana maisha.
Wengi tunasahau kuwa hii hela niliyo nayo naikuzaje? Mfanyakazi lazima uwe na cashflow.....mshahara hadi mshahara ni mateso makubwa sana. Cashflow unaipataje?
Weka duka dogo kaka la moving items.......hili litacover mashimo yako na utajengea.
 
Sahihi kabisa mkuu..umeongea vyema kabisa.
 
Sahihi kabisa mjukuu, wala sikupingi. Ila kuna wakati life doesn't give you what you want, that's when you think the world is crushing on you, it's like umeibeba dunia peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…