Bila shaka hapa ☝️ ni kwako mkuu.Naunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
Siwezi jenga paa la hivyo mkuuBila shaka hapa ☝️ ni kwako mkuu.
Siyo kwamba unaiponda hili paa ili Mimi nisijenge la dizaini hii?! 🤔.Siwezi jenga paa la hivyo mkuu
Hapana , niligoma kabisa kuigana ujenzi wa mtindo huoSiyo kwamba unaiponda hili paa ili Mimi nisijenge la dizaini hii?! 🤔.
Nimefikiria tu nje ya boksi.
Sahihi kabisa.Hapana , niligoma kabisa kuigana ujenzi wa mtindo huo
Peleka mtoto kayumba!Kipindi cha kulipa ada huwa sina furaha kabisa, vichwa kumi si mchezo
Huu ni ushauri mzuri sana, kama wote wataufuata maisha hayatakuwa na stressPeleka mtoto kayumba!
Mnajipa stress alafu akimaliza anakuwa bodaboda,
Tabu sana
Gen Z walioanza kazi hawatakuelewa maana wanataka wanunue Altezza ,Crown ,CX5 ,X3.
Huu UPUMBAVU zungumzia Imani yako ndugu,kwenye UISLAM ipo wazi,utaingia kama ulivotokaKwa ambao bado hamjaoa zingatia hili....
Unajenga kwa nguvu zako,unaoa kwa mahari yako,mnazaa hao watoto na mnawasomesha pamoja halafu mwisho mnaachana na mnagawana kile ulichotafuta kwa nguvu zako....
Achana na kujenga!!! Kula bata,tembea sehem mbalimbali,nunua malaya,kula bangi,pombe sio sana,saidia watu....
Halafu ukimpata huyo wa kuzaa nae hao watoto wa kusomesha hapo ndo muanze kusota pamoja kujenga...
Hakuna fala skuiz kama ukijenga jenga na usiowe,jenga kwa ajili yako na wanao watakao lelewa na singo maza..vinginevyo YOU ARE TOTALLY FUCKED...
Ilo paa ni ghala juuNaunga mkono hoja, ila manyumba yenye paa ndefu hivi sijui nani katudanganya ni mazuri🤔View attachment 3572653
Hiyo uislamu wako peleka lebanon huko ila tanzania tunakwenda kwa pilatokwenye UISLAM ipo wazi,utaingia kama ulivotoka
Ndio babu kuna mda life linakupa mkong'oto hapo utaona kila kitu kama kinakufokea😂😂Sahihi kabisa mjukuu, wala sikupingi. Ila kuna wakati life doesn't give you what you want, that's when you think the world is crushing on you, it's like umeibeba dunia peke yako.
Siji unasemaje😎Njoo DM