Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Na nyinyi acheni upimbi. Kwani huyo Rais ni mungu? Mbona na nyinyi mlienda naye na kufanya mpaka mkutano wa hadhara? Mngemuacha aende peke yake basi kama ni special kuliko binadamu wengine.
 
Ni jambo muhimu la kitaifa kuhudhuria, Majaliwa aliwahi kuwajulia hali maana mama bado alikuwa safarini ,mbona hamkwenda siku ile majaliwa yupo? Mnasubiri Rais aende na nye mchomeke agenda zenu,siasa za kitoto hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mshono.
Unawapangia watu lini waende?
 
Kwa hivyo kukagua athari ni kupita city centre.

Tumeshaelezwa huko mashamba yameharibika, mifugo imekufa, na maji machafu yalijaa mji mzima kwa mafuriko yale na vyoo vyetu; lazima maji ya mafuriko yalikuwa na mchanganyiko wa kila kitu na yamekaa siku kadhaa maeneo mengine (risk of waterborne diseases).

Wananchi wanahitaji wataalamu wa kwenda kufanya aftermath risk assessment ya kuangalia wasaidiwe vipi; hapo kuna risk za ‘waterborne disease’ wizara imejipanga vipi, uharibifu wa njia huko nje ya mjini, athari zake, vegetation concerns ‘kiasi gani cha ardhi kinaweza kuwa kimeathirika kwa kilimo cha msimu ujao, vipi food security; njia za mito zipo kwenye hali gani mvua kubwa ikinyesha; you can go on and on kwa mambo muhimu ambayo serikali inatakiwa kuyafikiria.

Halafu CDM wanalilia kwenda kupiga picha na wagonjwa na kudhurura mtaani waonekane; as if huko ndio kutasaidia kumaliza shida za watu.

Wote nCDM na CCM kila kitu wao wanawaza cheap politics wakati wananchi huko wanahitaji serious help, hata hiyo kambi ya makazi ya wahanga hatuoni na kuna watu wamepoteza nyumba.
 
Ninawapongeza ila kuhusu mwongozo bakini nao tu unless ni mwongozo kwa wafuasi wenu.
 
Creche....
 
Hayo unayasema wewe kwani nani umeona analilia kuletewa chakula mezani? Wewe una chuki na Chadema tu huna kingine unachojua ndiyo maana nakuona boflo tu.
 
Mama unawivu
 
Nakuheshimu sana mkuu, Naunga mkono mageuzi, ila unaripoti kishabiki sana kiongozi.

Sasa hao wananchi ambao wamepata matatizo walikua wanawashangilia vipi watu waliokuja mikono mitupu ati kukagua uharibifu?? Mbona nashindwa kuelewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…