Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

Ccm na siasa hata kwenye majanga.
Yaani ubaguzi hadi kwenye misiba?
Mambo ya aibu sana
 
Wanasiasa wanafiki sana, yaani huko mitaani wanakutana wanaCCM na CHADEMA kuombana ushauri wa namna ya kutengeneza maisha yao kwa ajili ya biashara mbalimbali...ila ikija suala la kukutana kutatua matatizo ya wananchi wanawazuia wenzio wasiungane kutatua kuchakata mawazo ya pamoja kwa ajili ya kuwasaidia wananchi.
CCM ni Kansa mbaya sana.
 
Wanaleta sihasa kwenye mambo ya kitaifaaaaa........kushikamanaaa
Mbona Spika alikuwa kule yeye alienda kufanya nini si bora hao wanaopeleka misaada.Ni kheri yanga na simba kuliko hao wacheza ugoyangi
 
Kwenye hili suala na kinachoendelea hapa cha kurushiana maneno badala ya kuwekeza nguvu zote kwa wahanga naona kama watu wameamua kunyanganyana nguo na kukimbizana (kwa mimi mtazamaji napata shida kuona kichaa ni yupi)
 
Na wewe acha kua km Lucas Mwashambwa hahaha 😂,taarifa njema ila mahaba sasa yanapitiliza ndugu
 
Jambo la kibinadamu kama hili linafaa kuungwa mkono.

Serikali ya kihuni inadhani kila jambo ni la kisiasa
Mama Samia angalau kwa macho ya rohoni ana utu tofauti na mwendazake
 
Nakuheshimu sana mkuu, Naunga mkono mageuzi, ila unaripoti kishabiki sana kiongozi.

Sasa hao wananchi ambao wamepata matatizo walikua wanawashangilia vipi watu waliokuja mikono mitupu ati kukagua uharibifu?? Mbona nashindwa kuelewa??
Hutaki unaacha
 
Mkamateni chawa wa Tulia Lucas Mwashambwa popote alipo alazimishwe kuisoma habari hii.
 
Kama kukubalika muda huu ndani ya miaka 21 mngekuwa mmeshika dola!
Ingekuwa Dola nchi hii inapatikana kwa kura, siku nyingi kingeshaeleweka boss. ANC huko Africa kusini ilichukua zaidi ya miaka 70 kuchukua Dola. Huko kwao kabla ya box la kura kuanza kuheshimiwa, makuburu tu ndio walikuwa wanatangazwa washindi.
 
Ingekuwa Dola nchi hii inapatikana kwa kura, siku nyingi kingeshaeleweka boss. ANC huko Africa kusini ilichukua zaidi ya miaka 70 kuchukua Dola. Huko kwao kabla ya box la kura kuanza kuheshimiwa, makuburu tu ndio walikuwa wanatangazwa washindi.
Endeleeni kuwa wavumilivu ipo siku mtakula mbivu lakini sio kwa udhaifu wa upinzani wa sasa wa X na space ofisj ubelgiji!
 
Basi hapo ukute CCM wanateseka..
🤣🤣🤣
Sidhani kama CCM wanashida sana..

Ipo mijitu binafsi ndiyo yenye shida. Mmojawapo ni huyu bila shaka ndiye chawa wao mkuu anaitwa Lucas mwashambwa...

Huyu jamaa ndiye pekee anaye trend pale Lumumba. Lakini hayajui vizuri ma - CCM...

Yaani yatampiga na kitu kizito kichwani mpaka ataona aibu mwenyewe na kubadili utambulisho (ID) wake hapa jamvini si muda mrefu...
 
DJ anazeeka aisee! Maisha ya binadamu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…