Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Spika alikuwa kule yeye alienda kufanya nini si bora hao wanaopeleka misaada.Ni kheri yanga na simba kuliko hao wacheza ugoyangiWanaleta sihasa kwenye mambo ya kitaifaaaaa........kushikamanaaa
Na wewe acha kua km Lucas Mwashambwa hahaha 😂,taarifa njema ila mahaba sasa yanapitiliza nduguTulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu
Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .
Hali ndio kama mnavyoona
View attachment 2835884View attachment 2835885View attachment 2835886View attachment 2835888View attachment 2835889View attachment 2835890View attachment 2835891
Maafa yaliyotukuta HANANG' tunastahili kuweka itikadi pembeni,nyie chama cha mambuzi mnajimilikisha mpaka majanga, 🙄Chadema wache mzaha
Mama Samia angalau kwa macho ya rohoni ana utu tofauti na mwendazakeJambo la kibinadamu kama hili linafaa kuungwa mkono.
Serikali ya kihuni inadhani kila jambo ni la kisiasa
Sasa c mtulie nyumbani kwenu, msubiri wenye kukusanya kodi wafanye kazi, halafu mbona mke wa Mbowe Erythrocyte amesema chadema wametoa mamilioni.?Chadema haikusanyi kodi
Hutaki unaachaNakuheshimu sana mkuu, Naunga mkono mageuzi, ila unaripoti kishabiki sana kiongozi.
Sasa hao wananchi ambao wamepata matatizo walikua wanawashangilia vipi watu waliokuja mikono mitupu ati kukagua uharibifu?? Mbona nashindwa kuelewa??
Mkamateni chawa wa Tulia Lucas Mwashambwa popote alipo alazimishwe kuisoma habari hii.Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu
Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .
Hali ndio kama mnavyoona
View attachment 2835884View attachment 2835885View attachment 2835886View attachment 2835888View attachment 2835889View attachment 2835890View attachment 2835891
Li LUKAS MWASHAMWAHahaha li nani?
Ahsante sana nduguAiseeh Mkuu poleni sana...nilikuwa hapo juzi tu
Ingekuwa Dola nchi hii inapatikana kwa kura, siku nyingi kingeshaeleweka boss. ANC huko Africa kusini ilichukua zaidi ya miaka 70 kuchukua Dola. Huko kwao kabla ya box la kura kuanza kuheshimiwa, makuburu tu ndio walikuwa wanatangazwa washindi.Kama kukubalika muda huu ndani ya miaka 21 mngekuwa mmeshika dola!
Endeleeni kuwa wavumilivu ipo siku mtakula mbivu lakini sio kwa udhaifu wa upinzani wa sasa wa X na space ofisj ubelgiji!Ingekuwa Dola nchi hii inapatikana kwa kura, siku nyingi kingeshaeleweka boss. ANC huko Africa kusini ilichukua zaidi ya miaka 70 kuchukua Dola. Huko kwao kabla ya box la kura kuanza kuheshimiwa, makuburu tu ndio walikuwa wanatangazwa washindi.
Sidhani kama CCM wanashida sana..Basi hapo ukute CCM wanateseka..
🤣🤣🤣
DJ anazeeka aisee! Maisha ya binadamu bwana!Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu
Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .
Hali ndio kama mnavyoona
View attachment 2835884View attachment 2835885View attachment 2835886View attachment 2835888View attachment 2835889View attachment 2835890View attachment 2835891
Hata hivyo ccm sio imara, labda mtambie vyombo vya Dola.Endeleeni kuwa wavumilivu ipo siku mtakula mbivu lakini sio kwa udhaifu wa upinzani wa sasa wa X na space ofisj ubelgiji!
CCm imechoka lakini wananchi nao hawaamini watu wasio na msimamo!Hata hivyo ccm sio imara, labda mtambie vyombo vya Dola.