Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu .
Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona Majeruhi na kutoa msaada wa mamilioni ya shilingi zikiwemo pesa taslimu
Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya Majeruhi baada ya kuwaona viongozi wa Chadema wamefurahi sana kiasi cha kupata nafuu ghafla , na wengine kuanza kutembea wenyewe pamoja na kwamba hapo awali walikuwa wanabebwa! kilichotokea ni kama vile ndani ya Hospitali hiyo umeingia ujumbe kutoka kwa Mungu kwa ajili ya Uponyaji .
Hali ndio kama mnavyoona
View attachment 2835884View attachment 2835885View attachment 2835886View attachment 2835888View attachment 2835889View attachment 2835890View attachment 2835891