Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali.

Mbaya zaidi nimeanza utaratibu mpya unaonishangaza hata mimi mwenyewe kwamba nikimaliza kula sahani 2 za wali naongeza chapati 3. Ni balaa. Hii ni kawaida au imezidi? Lakini kinachonisaidia ni huwa nakula mara moja tu kwa siku.
 
Pima Sukari wewe ,itakuwa above 20.
 
Haya Wicknel Chivayo, baad aya kushiba, wahi Ikulu Ukakumbatie
 
Unakula kulaje hivyo aisee?

Wewe jela utaweza kukaza kweli kwa ulaji huo?kama wa kike sawa kama wa kiume aisee jiangalie sana.
 
Wewe ni mlafi na bugia bugia kama Ali tumbo 😹😹

Pesa za uchawa zitakusababishia sukari ushindwe kumdinya mkeo. Uishie kuishika kwa kidole tu.

Na wanaume wenzio watakugongea na sio mlango..!! 😹
 
Wewe ni mlafi na bugia bugia kama Ali tumbo 😹😹

Pesa za uchawa zitakusababishia sukari ushindwe kumdinya mkeo. Uishie kuishika kwa kidole tu.

Na wanaume wenzio watakugongea na sio mlango..!! 😹
Hapana nakula mara moja tu kwa siku. Huwa sili hovyo hovyo. Watu wengi wanasema ninanufaika na pesa za namna hiyo ila sio kweli. Sijawahi kuwa chawa au mpambe wa mtu maishani. Na sijawahi kunufaika na hela yoyote toka CCM au mwanachama wa CCM.

Karibu kila mtu anagongewa ila kugongewa kisa umeshindwa kumgonga mkeo ni zaidi ya msiba. Hata mimi napambana kukwepa unene ndo maana unaona nimejishtukia kwenye kula.
 
Kama unatokea kanda ya ziwa usihofu ni kawaida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…