Wewe nini mjomba hamis bana, wee chawa wote tunajua unataka kumdanganya nani? ๐น๐น๐นHapana nakula mara moja tu kwa siku. Huwa sili hovyo hovyo. Watu wengi wanasema ninanufaika na pesa za namna hiyo ila sio kweli. Sijawahi kuwa chawa au mpambe wa mtu maishani. Na sijawahi kunufaika na hela yoyote toka CCM au mwanachama wa CCM.
Karibu kila mtu anagongewa ila kugongewa kisa umeshindwa kumgonga mkeo ni zaidi ya msiba. Hata mimi napambana kukwepa unene ndo maana unaona nimejishtukia kwenye kula.
Mumeo akienda mkutanoni huwa unapitiwa?Wewe nini mjomba hamis bana, wee chawa wote tunajua unataka kumdanganya nani? ๐น๐น๐น
Machawa kugongewa kuko pale pale.
Mkienda kujaza mikutano yenu chamwino huku nyuma lazima mkeo wampitie..!! ๐น
Mume wangu sio chawa na haendi kwenye mikutano ya kijinga..!! Upo nyonyo? ๐น๐น๐นMumeo akienda mkutanoni huwa unapitiwa?
Unaweza ukafa kabla ya Lissu. Chunga mdomo wako. Na unavyo kulakula wewe stroke haita kuacha salama.Lissu atakuwa wa kwanza kwasababu siku sio nyingi atahukumiwa kunyongwa
Wewe stroke au kisukari kinakunyemelea. Na ulivyo chawa wa CCM Bora ufe tu. Stupid idiotUnajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali.
Mbaya zaidi nimeanza utaratibu mpya unaonishangaza hata mimi mwenyewe kwamba nikimaliza kula sahani 2 za wali naongeza chapati 3. Ni balaa. Hii ni kawaida au imezidi? Lakini kinachonisaidia ni huwa nakula mara moja tu kwa siku.
Huyu ni demu sio GentlemenWewe ni mlafi na bugia bugia kama Ali tumbo ๐น๐น
Pesa za uchawa zitakusababishia sukari ushindwe kumdinya mkeo. Uishie kuishika kwa kidole tu.
Na wanaume wenzio watakugongea na sio mlango..!! ๐น
Sawa binamu yake munguUnaweza ukafa kabla ya Lissu. Chunga mdomo wako. Na unavyo kulakula wewe stroke haita kuacha salama.
Mumeo ana huruma.Mume wangu sio chawa na haendi kwenye mikutano ya kijinga..!! Upo nyonyo? ๐น๐น๐น