Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki

1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli

2. Juzi kasema Bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa Mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale

3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya Sabaya

4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizegwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha Waziri Mkuu na IGP.

Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu Waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke Katibu Mkuu Kiongozi kwenye nafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe Ukatibu Mkuu.
 
Naunga mkono hoja.

Ni aibu kubwa kwa Taifa kuwa na Waziri Mkuu, mwongo mwongo wa dizaini wa huyu tuliyenaye🥺

Kwa kuwa imethibitika pasipo shaka yoyote, kuwa huyu PM, ni mtu wa kutupiga "fix" kadri anavyotaka, huku akijua, hataweza chukuliwa hatua ya aina yoyote

Ingekuwa nchi yetu inafuata demokrasia ya kweli, huyu PM, angekuwa siku nyingi, keshawajibishwa na Bunge letu😄
 
Naunga mkono hoja.

Ni aibu kubwa kwa Taifa kuwa na Waziri Mkuu, mwongo mwongo wa dizaini wa huyu tuliyenay...
upinzani hamna bungeni ,kungekuwa na wabunge wa upinzani kingeshaanzishwa hoja kwamba hawana imani naye
 
Naunga mkono hoja.

Ni aibu kubwa kwa Taifa kuwa na Waziri Mkuu, mwongo mwongo wa dizaini wa huyu tuliyenaye[emoji3064]

Kwa kuwa imethibitika pasipo shaka yoyote, kuwa huyu PM, ni mtu wa kutupiga "fix" kadri anavyotaka, huku akijua, hataweza chukuliwa hatua ya aina yoyote

Ingekuwa nchi yetu inafuata demokrasia ya kweli, huyu PM, angekuwa siku nyingi, keshawajibishwa na Bunge letu[emoji1]
Naye Mungu ampumzishe kwa kusema uongo mimbarani
 
Bila uongo dunia haikaliki mkuu. Usitoke sana povu jitahidi unywe kahawa na kale kakashata
Sio kila tukio ni la kuongopea. Uongo una kipimo chake. Unadanganya leo kesho yake inathibitika kuwa ni kweli, huo ni uongo wa kujenga kweli!? Hapana huyu amezidi . Wenzetu uongo wao kidogo umeadvance mpaka uje ugundue sio rahisi
 
Kuna uongo moja 'siukumbuki' alisemea mbele ya waumini akiwa kavaa kanzu na kofia, ndani ya msikiti! Licha ya kuwa ni kiongozi wa serekali lakini anapokuwa msikitini outomatic vile yeye ni muislam ni kiongozi wa dini pia.

Amewafedhehesha waumini na dini yao pia' na wa tz wote!
 
Bila uongo dunia haikaliki mkuu.
Ila sio kwa nyakati hizi za 'kidijitali' ambapo ukweli unabainishwa sekunde chache baada ya kauli.
---
Mifano hai chukualia matukio ya kuanzia tarehe 9 mwezi huu hadi sasa.
  • Angalia kilichozungumzwa bungeni / viongozi wakubwa.
  • Kisha linganisha na ushahidi wa picha na video zilizopo mtandaoni.
---
Aibu tunaona sisi wananchi! Viongozi waache uongo na kuukabili ukweli na hali halisi iliyopo.
 
Washauri wa statement za Mh Waziri Mkuu
Mjitathmini kama mnatosha kwenye nafasi zenu

Mnamuharibia sifa zake nyingi nzuri
We need this Man kuongoza hii nchi
 
Back
Top Bottom