Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuaje Platinum Member wakati hujui hata kwamba Waziri Mkuu lazima atokane na ubunge wa kuchaguliwa jimbon
dedi ruangwahebu tueleze alichaguliwa na nani huyo jimboni kwake .?
Anampigania ankaliMhhhhhh huyu ni janga la kitaifa.
Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema Bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa Mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya Sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizegwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha Waziri Mkuu na IGP.
Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu Waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke Katibu Mkuu Kiongozi kwenye nafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe Ukatibu Mkuu.
Alipotishwa bila kupingwa na Mahera 😂😂😂hebu tueleze alichaguliwa na nani huyo jimboni kwake .?
Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kwanza ndipo Rais amteue apigiwe kura bungeni.Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema Bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa Mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya Sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizegwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha Waziri Mkuu na IGP.
Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu Waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke Katibu Mkuu Kiongozi kwenye nafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe Ukatibu Mkuu.
Blaza kwa lugha ya kiitaalamu ,boss kapiga simulation ya kina.... siku hizi vijana wadogo mashuleni huko wana mvi ila boss wetu zake nyeusi tii!
Hv aliyeahidi kujenga mnara wa kumbukumbu kwa wahanga wa Lori la mafuta msamvu ni nani? Nakumbuka kwa mbaali kama ni yeye aliahidiKazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki