Wewe ni punguwani kama walivyo mapunguwani wengine tu, ulihusika katika kumuuguza JPM? hivi Mungu akikuchukua hapo ulipo saizi kunajustify kusema jana hukuwepo? vipi kama JPM huenda aliingizwa theatre kufanyiwa surgery kurekebisha tatizo lake la moyo akiwa mzima na anafanya kazi zake na bahati mbaya akafia theatre? au yeye ndo atakuwa wa kwanza? mke wa Rais wa Ukraine wala hajui mmewe alipo wanazungumza tu kwa simu na kumuona kwenye TV.
Kauli ya PM ilihusu clip ilokuwa ikisambaa mitandaoni siku tatu nyuma kabla hajazungumza, matukio yametokea mchana baada ya yeye kuwa amezungumza, hapo uongo wake ni upi? Nyumbu bhana...