Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Tangu TAMISEMI iliporudishwa ofisi ya Rais ,majaliwa alitakiwa ajua keshanyang'anywa cheo chake. Hii inamaanisha hata kusingekua na waziri mkuu kusingekua n tatizo.
Sasa majaliwa alitakiwa akaekimya tu.hakutakiwa kuongeaonge bila ya kua na uhakika .sijui.anawasiwasi.gani wakati.mshahala analipya...anatafuta nini kuongea bila ya kua na uhakika na anachoongea.
KWA UFUPI WAZIRI MKUU KWA TANZANIA YA LEO YUPO KWA KUKAMILISHA KATIBA TU.LAKINI HANA KAZI YA KUFANYA.KWAHIYO ANAONGEA KWA KUTAKA AONEKANE YUPO LAKINI KUMBE NDIO ANAHALIBU.
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Haiwezekani katibu mkuu kiongozi awe PM sababu Kwa sheria zetu PM ANATAKIWA awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni, sio maalum wala wa kuteuliwa.
Nadhan pia katibu mkuu kiongozi nae ANATAKIWA awe na SIFA ya ubalozi
 
Waziri Mkuu akiwa ziarani mkoani Njombe alidanganya na kusema uongo kupitia microphone na speakers za msikitini kwamba Magufuli haumwi na anaendelea na shughuli zake za kulijenga Taifa...! Waziri Mkuu Muongo Hadi Msikitini waislamu tuwe macho
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.

Umeanza vizuri kwa kuorodhesha uongo wa Katelefoni, lakini umeishia kuharibu kwa kutoa ushauri usio na mbele wala nyuma!
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Mtu wa kamba sana huyu
 
Kuliko na demokrasia ya kweli ni wapi?
Usiniambie USA na wakati tunajua yote yanayoendelea Ukraine alafu ww unaaminishwa Urusi anapigwa vibaya
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
PM lazima awe mbunge kutoka jimboni.

Akibadilisha PM ni lazima avunje baraza la mawaziri, hilo ni vigumu kufanyika kipindi hiki.
 
Naandika nafuta nisije kuminywa kende zangu mimi
 
Naandika nafuta nisije kuminywa kende zangu mimi
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Akasema kuwa mazishi ya Magufuli yaliangaliwa na watu Billion 4 wakati dunia nzima inao watu Bilioni 8, wakati hata nje ya nchi hakuna anayetaka kumjua Magufuli wala kumsikia sembuse waangalie mazishi yake? Kwanza yanasaidia nini. Akasema pia kesho yake tunategemea watakuwa wengi zaidi, yaani kama Billioni 5, kumbe online waliangalia watu 46,000 tu.
 
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki

1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli

2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale

3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya Sabaya

4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea

Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro.

Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Alisema serikali imetoa ajira 40000
 
Wewe ni punguwani kama walivyo mapunguwani wengine tu, ulihusika katika kumuuguza JPM? hivi Mungu akikuchukua hapo ulipo saizi kunajustify kusema jana hukuwepo? vipi kama JPM huenda aliingizwa theatre kufanyiwa surgery kurekebisha tatizo lake la moyo akiwa mzima na anafanya kazi zake na bahati mbaya akafia theatre? au yeye ndo atakuwa wa kwanza? mke wa Rais wa Ukraine wala hajui mmewe alipo wanazungumza tu kwa simu na kumuona kwenye TV.

Kauli ya PM ilihusu clip ilokuwa ikisambaa mitandaoni siku tatu nyuma kabla hajazungumza, matukio yametokea mchana baada ya yeye kuwa amezungumza, hapo uongo wake ni upi? Nyumbu bhana...
 
Back
Top Bottom