Haiwezekani katibu mkuu kiongozi awe PM sababu Kwa sheria zetu PM ANATAKIWA awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni, sio maalum wala wa kuteuliwa.Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
hebu tueleze alichaguliwa na nani huyo jimboni kwake .?Umekuaje Platinum Member wakati hujui hata kwamba Waziri Mkuu lazima atokane na ubunge wa kuchaguliwa jimboni ??
Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Mtu wa kamba sana huyuKazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Unataka kuleta ligi ambazo hazina maana.hebu tueleze alichaguliwa na nani huyo jimboni kwake .?
Mkuu Awamu hii inayojiita ya Sita ina imejaza viazi kibao humu JF.Wewe nikiazi kweli hata katiba hujaisoma hujui sifa yamtu kuwa waziri mkuu hadi awe mbunge wakuchaguliwa nawananch kwenye jimbo
PM lazima awe mbunge kutoka jimboni.Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Akasema kuwa mazishi ya Magufuli yaliangaliwa na watu Billion 4 wakati dunia nzima inao watu Bilioni 8, wakati hata nje ya nchi hakuna anayetaka kumjua Magufuli wala kumsikia sembuse waangalie mazishi yake? Kwanza yanasaidia nini. Akasema pia kesho yake tunategemea watakuwa wengi zaidi, yaani kama Billioni 5, kumbe online waliangalia watu 46,000 tu.Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro. Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Alisema serikali imetoa ajira 40000Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Raisi Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wakwanza kusema ni uzushi kumbe ilikuwa kweli
2. Juzi kasema bungeni hakuna Polisi Ngorongoro lakini Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema Polisi kafariki kwa kupigwa mishale
3. Alisema baada ya uchaguzi wa 2020 kwamba walimweka Sabaya ili wamkabili Mbowe lakini akajifanya kama hajui chochote wakati wa kesi ya Sabaya
4. Anajifanya anapenda demokrasia leo hii wakati alifanya juu chini na kuweka mizigwe ili apite bila mpinzani yeyote kugombea
Kwa mawazo yangu huu ni wakati mzuri wa kubadilisha waziri mkuu na IGP Sirro.
Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke katibu mkuu kiongozi kwenye mafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe ukatibu mkuu.
Wewe ni punguwani kama walivyo mapunguwani wengine tu, ulihusika katika kumuuguza JPM? hivi Mungu akikuchukua hapo ulipo saizi kunajustify kusema jana hukuwepo? vipi kama JPM huenda aliingizwa theatre kufanyiwa surgery kurekebisha tatizo lake la moyo akiwa mzima na anafanya kazi zake na bahati mbaya akafia theatre? au yeye ndo atakuwa wa kwanza? mke wa Rais wa Ukraine wala hajui mmewe alipo wanazungumza tu kwa simu na kumuona kwenye TV.Kazi ya uwaziri mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa muongeaji mkuu wa serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba waziri mkuu huyu ni mwongo na mnafiki