Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Waziri Mkuu akiwa ziarani mkoani Njombe alidanganya na kusema uongo kupitia microphone na speakers za msikitini kwamba Magufuli haumwi na anaendelea na shughuli zake za kulijenga Taifa...! Waziri Mkuu Muongo Hadi Msikitini waislamu tuwe macho
Hatupaswi kuwa na imani na mtu wa namna hii, na sijui kama alirudi kuungama hiyo dhambi
 
Namba moja umekosea kidogo,jamaa alikuwa kwenye jokofu tayari
 
We ndio mjinga,jiwe alikuwa kwenye friji tayari wakati PM anatudanganya kuwa yupo ofisini anachapa kazi,
 
Waziri mkuu huwa hatoi taarifa toka kichwani kwake. Huwa anapewa taarifa na wasaidizi wake, vyombo vya dola n.k.

Mok taarifa inatolewa na pm unakuwa umepita kwenye ngazi tofauti nyingi Sana. Wakulaumiwa hapa iww ni katiba inayotoa mwanya wa kiongozi kudanganya
 
Naogopa sana kuwa mwanasiasa hasa wa nchi za kiafrika bila uongo nahisi kama hakuna siasa
 

Hata ndoa ya Waziri Mkuu ina udanganyifu, yeye muislam mke mkristo.​

 
Hata mimi nashangaa huyu waziri mkuu wetu hasa ni wa aina gani, ni waziri mkuu asiyeweza kuunda na kuongoza serikali, maana kila kitu anafanya rais kuanzia kuteua mawaziri, wakuu wa taasisi na idara mbalimbali, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi etc etc......
 
 
We unawatafutia watu Kaz huyo katibu kiongozi yey anajuwa nn mtu anayesema serekali Hakuna coordination na bado hajafanya lolote kuleta hyo coordinate ya serekali imefika mahali kila mmoja anapayuka payuka tu na kutoa matamko yenye utata

Mfano mzuri swla la kibali ya kusafirisha wanyama yey mwenye analijuwa swal hili lkn anakuja wazir wa maliasili anakuja kuongelea katazo la serkali yenyewe

Kwa kifupi San Hakuna mtu pale siyo wa ddoma Wala huyo km
 
Ila huyu kasimu ajirekehishe aise na aachane na mamb ya uongo aseme ukweli hata Kam itamgarimu mnk naona kbsa mma hamtaki ktk serekali ndio maan anachonganishwa na wananchi

Soon anaweza kulazimishwa kujiuzulu
 
Huyu jamaa Kwa uongo hivi mpaka Leo hajawahi kukanusha kuwa yeye ni KATELEFONI,anatutesa Sana maana tukitaka kusema KATELEFONI hoyee tunatishiwa kukamatwakamatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…