Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Picha linaanza weww mwenyewe muongo unedanganya jina lako jitetee
 
Umekuaje Platinum Member wakati hujui hata kwamba Waziri Mkuu lazima atokane na ubunge wa kuchaguliwa jimboni ??

Hoja kubwa ni waziri mkuu mwongo na abadilishwe sasa unakubaliana na hilo au ?

Nani atakuwa waziri mkuu mpya ni mawazo yangu . Wabunge wote wa 2020 ni fake! Sijali utaratibu wowote ukizingatia uchaguzi fake kama ule
 


Katiba ya nchi ni mbaya sana. Raisi anatakiwa kuwa na uwezo wa kumchagua mtu yeyote kuwa waziri mkuu ili mradi awe raia na apitishwe na bunge. Hii kwamba ni lazima awe mbunge ni sera ya kikoloni. Angalieni sasa uchaguzi wenyewe fake!
 
Wewe nikiazi kweli hata katiba hujaisoma hujui sifa yamtu kuwa waziri mkuu hadi awe mbunge wakuchaguliwa nawananch kwenye jimbo
Ila huyu hakuchaguliwa na wananchi huko jimboni kwake, japo ni mbunge wa jimbo.
 
KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI - JK NYERERE .

Hili ni jambo lililozungumzwa miaka mingi iliyopita
 
Kuliko na demokrasia ya kweli ni wapi?
Usiniambie USA na wakati tunajua yote yanayoendelea Ukraine alafu ww unaaminishwa Urusi anapigwa vibaya
Ni lini US ilitoa taarifa ya mapigano Ukraine?
 
Uwongo ni tabia, na tabia hujengeka tangu utotoni. Bila shaka tabia hii ya uwongo amekua nayo, siyo rahisi kuja kuiacha uzeeni.
 
Acha kitetea uwongo.

JPM wiki 3 kabla ya kifo chake, hakuwa katika hali ya kuweza kufanya kazi yoyote. Halafu huyo mwongo anasema, yupo ikulu anachapa kazi!!!
 
Wewe nikiazi kweli hata katiba hujaisoma hujui sifa yamtu kuwa waziri mkuu hadi awe mbunge wakuchaguliwa nawananch kwenye jimbo
Kwahiyo bunge zima kachaguliwa yeye tu? Waliobaki wote viti maalum
 
.

Pamoja na muonekano wa kisomi na upole huyu Waziri ni tatizo. Nashauri Mama mweke Katibu Mkuu Kiongozi kwenye nafasi hii baada ya kumpa ubunge halafu mkuu wa mkoa wa Dodoma mpe Ukatibu Mkuu.
Huku chini umepuyanga
 
Ilikuwa njombe hiyo
 
Ndiyo maana mwenyezi Mungu anaangalia moyo, haangalii sura. Huyu mkuu Sasa hivi akisema neno lolote inatubidi kuchanganua na zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…