Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

Hivi ikibainika PM kadanganya bunge nini adhabu yake ?
 
 
Napenda kuchukua fursa hii kumuombea radhi Katelephone endapo kwa namna yoyote ile alionekana kutoa taarifa zisizo sahihi mbele ya umma!
Lakini cha muhimu napenda muelewe kuwa katelefone katika awamu iliyopita alifanya kazi katika mazingira magumu sana. Kama katelephone asingekuwa mvumilivu, angekwisha jiuzulu na kuendelea kula 80pc ya mshahara wa pm aliyeko madarakani bila jasho. Ila kwa maslahi mapana ya taifa, katelephone aliendelea kustahimili na kuruka vizingiti vyote vilivyowekwa mbele yake....
Mara nyingi watu wenye maslahi binafsi walijaribu kwenda 'font fed' (the likes of Bashite) na kumruka katelephone ambaye alionekana kuminya maslahi yao binafsi, hadi kufikia hatua ya kumchonganisha na big boss.
Kuna wakati Boss kubwa alitaka kumuondosha katelephone kwenye hiyo post kutokana na uchonganishi huo lakini mzee wa Elpaso alimtetea kuwa ni vyema katelephone amalize muhula wake wa kwanza.
Kutokana na kung'amua ghiliba alizokuwa akifanyiwa katelephone, I was one of the few 'top elites' πŸ˜‹ (I wish, I was) who skillifuly manipulated the top boss to retain him for a second session.
Msione katelephone bado yuko hapo.
Behind the scenes, vita ilikuwa kubwa sana dhidi yake... kiasi cha kutishiwa kupigwa shangazi zake endapo asingejiuzulu...
Kwa hiyo nawaomba wote tumuunge mkono na kumsaidia pale anapotatizika katika jitihada zake za kuliletea maendeleo taifa letu!
 
Aliwahi sema tukio la kumpa heshima ya kuuaga magufuli limefatiliwa na watu Bilioni ngapi vile?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kwanza ndipo Rais amteue apigiwe kura bungeni.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Hv aliyeahidi kujenga mnara wa kumbukumbu kwa wahanga wa Lori la mafuta msamvu ni nani? Nakumbuka kwa mbaali kama ni yeye aliahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…