Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Rais Samia bado hakubaliki kanda ya ziwa

Mjane wa Marehemu mpk useme, na bado...
Bado hujasema
 
Ukishapata upinzani kwa kina mama njia yako ya kisiasa inakuwa sawa na kupanda mlima Everest! Twende tukacheze singeli ningoma nzuri na pendwa maeneo ya pwani!
 

Kanda ya Ziwa tunamuunga mkono Rais Samia kwasababu Hakuna Maradi ambao amausitisha baada ya Mpendwa wetu kuondoka.
 
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.

Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
Labda unaongelea stori za vijiweni njoo kanda ya ziwa ujionee sis ndio waamuz tunamsubir mama yenu tumnyooshe come 2024 and 2025.
 
Ccm nzima haikubaliki
 
Hata sie wa Iringa baada ya Lukuvi kutumbuliwa bila sababu ya msingi kipindi tunaamini ndio waziri wa ardhi Bora aliyewahi kutokea.......bado tunatafakari.
Ukitaka uwaziri awamu hii kagombee mkoa wa Pwani au Tanga.
 
Mama ntilie muuza uji wa ulezi, au mama yupi

We ndo wapaswa kurudi class ukafanye utafiti upya
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.

Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama
 
Kwani Kanda ya ziwa ndiyo pekee wanaoamua hatima ya uchaguz? Nchi hii kubwa sana
 
Kanda ya ziwa siyo wajinga kama watu wa pwani na kati, Ziwa na kaskazini hatumtaki maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…