ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Ohooo,
mimi nilikuwa nadhani kuwa nao ni wanadamu waliolelewa na wanadamu isipokuwa wanasukumwana umasikini wa kipato, njaa na kukosa matumaini/kukata tamaa. Amen
😂Kisa alirembua ?Lile halikuwa karipio kali 😁
Bure kabisa. Sioni kama anaweza kuchukua uamuzi wa kuwatokomeza. Ukiamua ni dakika sifuri tu, tatizo linaisha.Tatizo lake bi tozo hajui ata aina ya sauti ya kutumia unapotoa onyo.
Bahati yake ni raisi wa Tanzania; hao akina Angel Merkel, Magreth Thatcher, Nicola Strugeon if they mean business anaikodolea jicho camera na sauti yake inabadilika jumlisha na maneno makali.
Huyu mama tunalazimisha tu na kuishusha hadhi nafasi ya amiri jeshi mkuu, anapwaya kwenye kila kitu.
Hapa kuna kudekezana, hakuna hoja ya msingi, nani amekwambia ukikosa ajira uibe na udhuru watu ? Wewe ukifanya hivyo ni muhalifu na utakiwa kuwajibishwa. Wangapi hawana ajira na hawaibi ?Tatizo la "panya road" ni kutokuwepo mkakati rafiki wa machinga kufanya biashara. Machinga ni kundi kubwa linalobeba zaidi ya 90% ya vijana kwenye ajira isiyo rasmi. Hivyo katazo la kauli siyo jibu sahihi
Hapa kuna kudekezana, hakuna hoja ya msingi, nani amekwambia ukikosa ajira uibe na udhuru watu ? Wewe ukifanya hivyo ni muhalifu na utakiwa kuwajibishwa. Wangapi hawana ajira na hawaibi ?
Basi angalau wawe sahihi basi waende kuwadhuru walio sababisha hayo siyo kuwadhuru raia wasio kuwa na hatia.
Hao vijana wanatakiwa kuuwawa tu, nashangaa inakuwaje wanadekezwa sana.
Ndugu hiyo sio hoja yangu.Dunia, nchi yoyote ina maskini wengi kuliko matajiri. 80/20, 95/5.
Unasema jamii zote ziwe wahalifu?
Jaribu kuacha upuuzi. Mpaka mtoto wako akiuwawa ndio utapata akili?Kama hao WEHU wanaendelea kufanya vurugu mtaani basi kutakuwa na MIKONO ya watu ili kulinda legacy ya NZIRANKENDE na kumchafua "MAZERI".
Sasa ndiyo inabidi tuwaue tu hao panya road.Hawawezi kwenda kuwashambulia walio serikalini. Serikali, sera ndio chanzo cha matatizo yao mengi.
Wenyewe wanatafuta easy target Mtu asiweza kujilinda, kujitetea.
Hapana! Nakataa wakikaribia pale tutajua tu nadhani watu wa haki za binaadamu mtawasikia tu.Hapo si ni jirani kabisa na kambi ya jeshi ya lugalo? Haifiki hata 5km
Atutengenezi viongozi wazuri, aelewi ata tone sahihi kwenye kuonyesha she is dead serious and means business.Bure kabisa. Sioni kama anaweza kuchukua uamuzi wa kuwatokomeza. Ukiamua ni dakika sifuri tu, tatizo linaisha.
Mpaka watakampora ndugu yake ndipo atakuwa serious.
Ndugu hiyo sio hoja yangu.
Ila nilichomjibu Ndg Sonofobia ni kuwa, Panya road nao ni wanadamu waliolelewa na wanadamu isipokuwa wanasukumwana umasikini wa kipato, njaa na kukosa matumaini/kukata tamaa. Waweza pia kufuatilia tangu tulikokuwa tumeanzia itakusaidia.
Rudia kusoma UPYA mkuu.Jaribu kuacha upuuzi. Mpaka mtoto wako akiuwawa ndio utapata akili?
Waziri wa mambo ya ndani anapwaya kama wanasubiri rais asemwRais alitoa kauli maanake they are out of control. Maeneo yote ya Temeke, Chanika, Mbagala na ukanda wote huo watu wanaishi kama wapo vitani.
Ndg panya rd under 15 unampa kazi gani!?Ndugu,
Panya road ni mwanadamu kama wengine, anaweza kupewa ajira itakazomwezesha kupata kipato kilicho halali na kwa usalama HATA wa kwake kibaka mwenyewe, akatulia.
Hata Magufuli angekuwa MKWELI, kwenye takwimu za fursa na ajira alizokuwa anadai kutoa/kutengeza, tatizo hilo lingeweza kuendelea kupungua.
Atutengenezi viongozi wazuri, aelewi ata tone sahihi kwenye kuonyesha you mean business.
Thatcher alipoingia madarakani akakuta serikali imekaa kijamaa sana agenda yake ikawa kupunguza government spending kwa kutoa matumizi yasiyo ya lazima.
Mziki wake aukuwa mdogo kila kona huku unions, wafanyakazi wenyewe, wanasiasa wa upinzani, asasi za kiraia na ata baadhi ya wanasiasa wa conservative walijaribu kupindua meza kutokana na pressure ya jamii.
Thatcher akawajia na famous speech yake ya ya mwaka 1981 ‘The lady is not for turning’ mimi ndio waziri mkuu na nimeamua tunapunguza matumizi ya serikali; waliokuwa wanamchukulia poa au ambao walidhani hana hiyo jeuri mziki wake waliuona mpaka anatoka.
Maza hana qualities yupo tu kama pambo la wahuni kufanya yao, ata kuongea tu afananii na raisi wa nchi.