Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

Wengi wetu tumekulia kwenye umaskini. Hatujawahi kuwa wahalifu.

Kuheshimu haki za kuishi, mali za wenzako ni muhimu kwq nchi yoyote ili kuendelea, wewe kwenda kazini na kujua utarudi salama nyumbani.
Vizuri sana, ila wa aina yako wanazidi kupungua tena kwa kasi kubwa, katika zama hizi za dot.com.

 
Si wagewe kazi askari wa Mabatini Kijitonyama
 
Nimeangalia hiyo speech youtube. Huyu SSH hana hata 10% ya uwezo wa kuisimamia nchi.pp⁰

Wao wanadhani kuwa mwanamke inatosha kubalance jinsia, wakati viongozi wengi wanawake ulaya ndio huwa wakali kweli ili wanaodhani utani wajue shetani wanae deal nae.

Angela Merkel alikuwa akisimama na viongozi wa dunia akiongea wanakaa kimya, kama ni agenda za EU viongozi wote wa bara walikuwa wanasubiri aseme yeye kwanza.

Huyu wetu yupo yupo tu anaongea utadhani yupo sebuleni kwake anabembelezana wajukuu zake.

Ata Jokate anamshinda anapokuwa serious sura na sauti na inabadilika; mapungufu yake rafiki zake inabidi wamwambie aweke private life zake siri sio kwenye kazi insta sio sehemu ya ku promote kazi za wanaume ambao awajamuoa wala mashemeji inamfanya aonekane changu.
 
Anawaonea Huruma hao watoto Yeye ni mzazi pia...tumbo la udele
 

Ni ukweli Wanawake wengi enzi hizo
walikuwa makini sana hata kuliko wanaume. Walikuwa wana msimamo, wanasimamia misingi fulani.

SSH anasimamia nini? Upigaji, undugu, udini, ukabila, ukanda, Peleka pesa zote Zanzibar. kumchamfua kiongozi aliyokupa, kukuvumilia madaraka.
 
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.

Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.

Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
 
Ndg panya rd under 15 unampa kazi gani!?
Inawezekana kabisa
1.Waliokamatwa wapate mafunzo ya ufundi mbalimbali na ya kisaikologia wakiwa gerezani ili waweze kuajilika na pia kubadilika.
2.Fursa za mafunzo mbalimbali ya ufundi kwa vijana wanaomaliza std 7, form iv na hata form vi ziongezwe ili waajilike na kujiajili.
 
Ndio shida ilipo hajui yupo pale kwa shughuli gani.

Alisha tuonyana lakini ni ‘kudra za mwenyezi mungu’.

Inabidi aelezwe kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.

Haha,ukiangalia kwa umakini ni systems, mifumo yetu inaruhusu huu upuuzi.

Huyu mama angebaki kuwa mke mwenza wa nne. Ingetosha na kuliokoa Taifa.
 
Kijana wa jirani yangu aliuawa pale Kimara akiwa moja ya panya road. Vijana acheni upanya road.
Polisi tuanze kazi kuwasafirisha mapema wakapuzike.
 
Wakishaanza kubinywa mbupu msije kulaumu maana hivyo ni vitoto vyenu mnavilea Lea viwe viharifu.
 
Karipio kali lipi hilo ambalo ulilisikia peke yako?

Tuwekee hapa hilo Karipio kali kutoka kwa Rais wa nchi
 
Usikute kuna Wakuu wanapata Mgawo wao kutoka Kwa hawa Panya Road..
Kwa hii nchi ilivyo na hawa polisi wetu wa mchongo inawezekana kabisa ikawa panya wa mchongo.!
Ila huwa naomba siku moja nikienda Dar kupeleka biashara yangu ya majeneza then hivi vipanya viingie kwenye 18 zangu mtakuta nimevinyonga vyote shubmit..!!!
 

Sizani polisi wanaweza kuwa panya road. Watajulikana mtaani. Labda kama wanatoa intelligence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…