TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Nitapeleka ombi makao makuu ya katoliki duniani Vatican ili pope benedict xvi azikwe Tanzania mkoani wa shinyanga wilaya ya kishapu kijiji cha maganzo kwani shinyanga ni mmoja wa mkoa wa Tanzania wenye waumini wengi wa dhehebu la katoliki na ukizingatia Rafik yake mkubwa Kardinal rugambwa alikuwa mshikaji wake mkubwa.


Natumaini Vatican watanielewa kwa ombi langu hilo!Ahsante.
 
Bangi za mchana hizo
 
Mtetezi wa mashoga ameumaliza mwendo
 
Me nazungumzia mapapa waliokuwepo enzi za vita kuu ya dunia walibariko vita badala ya kuizuia kwa kutumia mgongo wa dini yao yenye wafuasi mabillion
Bila kuelewa kuwa wewe ni mfuasi wa cult ya Jehova's Witness hawatakuelewa unazungumzia nini mkuu.

Na unafikiri hata kama Papa angepinga hiyo vita ndiyo isingetokea? Kwamba akina Hitler, Bennito Mussolin, Joseph Stalin, Winston Churchill na miamba mingine ndiyo wasingepimana nguvu katika vita vyao vya kugombea raslimali za dunia kisa tu eti Papa kakataa? Huyu wa sasa vita vya Ukraine mbona vinaendelea pamoja na yeye kuvipinga sana?
 
🙏
 
RIP
 
Kwanza ni lazima uelewe vita haipendwi na wengi isipokuwa ni viongozi ndio huichochea na kuihamasisha sasa tujiulize viongozi hao hawaendi kanisani na je wakienda kanisani papa hawaambii livelive kwamba haifai haifai haifai kumwaga damu za askari wetu badala yake papa ndo anaweza kwenda kuwaombea na kuwatakia heri katika vita..
 
Siku wanatangaza yuko mahutiti hali yake ni mbaya aombewe ilikuwa ni ishara tosha kuwa amefariki. Ndivyo ilivyo kwa vifo vya wakubwa haitangazwi wakati huo huo anapofariki dunia mapaka maandalizi ya kutangaza msiba yakamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…