Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

kwa passion hii uliyonayo inaonekana dhahiri unawaunga mkono! Shame
Unajua tusikaze fuvu sana..yani kwa dunia hii ilipofikia uwaunge mkono usiwaunge mkono agenda zao zinazidi kuenea kwa kasi ya ajabu...wala haina haja ya kutukanana humu mitandaoni.

Mbaya zaidi hata utoke povu aje huwezi wafanya kitu mana wanalindwa hata naserikali yako hii ya kiafrika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tuanze na wewe binafsi unaona ni haki yako ya msingi kushiriki mapenzi ya jinsia moja?
 
Tuanze na wewe binafsi unaona ni haki yako ya msingi kushiriki mapenzi ya jinsia moja?
Je wewe unadhani sio haki yao kuwa na maamuzi ya mlengo huo..kama vile wewe ulivyo na haki kuwa na mlengo huu ulio nao.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Babe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Daah! [emoji23]
Umepiga spana ngumu sana hapo atarudi kukutukana tu,
 

1. Ushoga hautangazwi bali inaweka uelewa kwa jamii sababu jamii nyingi zimekariri mapenzi ni ya Me na Ke bila kujua kuna Me na Me, kuna Ke na Ke,

2. Kuna tofauti kati ya Jinsi (Sex) na Jinsia (Gender),
Jinsi (Sex) zipo mbili tu Me na Ke mahususi kwa kuzaana lakini Jinsia (Gender) zipo nyingi sanaaaa,

Nenda kasome Sexual Orientation na Gender Identity.

3. Mtoto akiwa Shoga ajabu ni nini sasa si amechagua njia yake? Au unadhani akiwa Shoga hawezi kusoma na kufanya kazi zake?

4. Hakuna aliyelazimishwa kua Shoga au wewe unao ushahidi kuna Mtu alikuomba akufire? Kama hujawahi basi jua hakuna anayelazimishwa kilichopo ni kuweka usawa wa kibinaadam, kila Mtu awe huru kuishi katika jamii yake kwa amani as long as hatoi madhara.

5. Kama ushoga ulikuwepo tangu enzi za hekaya za Sodoma na Gomora kwanini uhisi sasa hivi kuna ajenda? As if hao unaowahisi ndio waliozalisha Mashoga? Kama unatetea Albino asiuliwe basi tetea na Shoga asiuwawe, hizo nchi zimeamua kua sauti ya wanyonge.
 
Fikra zako zimefunguka safi sanaaaaa
 
Sijakuandikia wew ujumbe huu , uendelee kuangaika ukijidanganya kuw kila unachoambiw ni sawa , hayo maandiko yaamendikwa na watu ,

Nimesema iachwe nature ifanye kazi sio kulazimisha huo upuuzi acha agenda zako za kichoko hao wanabenifit wew utaishia kumwagishwa mamavi
 
Je wewe unadhani sio haki yao kuwa na maamuzi ya mlengo huo..kama vile wewe ulivyo na haki kuwa na mlengo huu ulio nao.?

#MaendeleoHayanaChama
Jibu swali then uulize lako!
 
Mashoga hawana haki ya kuishi
 
Bora turudi kwenye vilinge vya wazee wetu au sio..mana hizi dini za majahazi zimejaa matamanio matupu.

#MaendeleoHayanaChama
I am Muslim mkuu
Sisi huku tunafuata kile Muumba alichotuamrisha tu
 

Umepanic baada ya kupewa fact [emoji1787]
Haya wao wana benefit kwenye lipi?

Nature ipi unayoizungumzia au unajiropokea tu kama umekunywa Ulanzi [emoji851]
 
Unataka kusema kanisa likubali kuendana na Hawa wapuuzi? Badala ya kubaki kwenye Misingi?
Kwa nini liwatenge wakati ni sawa na wezi, wazinzi, waongo, wauaji nk? Au kwa namna nyingine ya kuuliza swali, kwa nini kanisa Katoliki haliwatengi wezi, wazinzi, waongo, wauaji nk, halafu lije liwatenge mashoga (ambao kimsingi ni wazinzi)?
 
Unaambiwa kanisa lipo kwenye kusaka mali zaidi kuliko kuwaweka watu katika kweli sasa kipindi hiki ambapo Ulaya na America wanaliona kanisa kama Conversative kwa kuzuia ushoga tegemeo lililobaki la uchumi ni Africa na Asia ambako waumini ni masikini sasa game changer ni nini?

Game changer ni kuruhusu waumini mashoga na ushoga wao kuabudu kanisani ili kuwashawishi wazungu kusali kwa amani huku kanisa likizidi kuchuma mali za wazungu washenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…