Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Vita kubwa iliyopo ni ya Umakini na Taarifa ili wafanikishe kutufanya tuwe wa fikra moja na za kupangiwa. Na shida huwa wanashawishi baada ya kujielezea ( Lie of Influence even kwa polite language )Kabisa the whole thing is corrupt !Ndiyo maana huko Anglican wanafungisha ndoa kabisaa.
Na dini hizi mbili zimeweka mizizi hata serikalini, Ukisikia wanapewa nafasi viongozi watatu wa dini jua 1.Roman 2.Islam 3.Lutheran/Anglican wamejikita mizizi serikalini
Hizi tulizo nazo nyingi ni taasisi za kidini za kibiashara, why mfanyabiashara yeyote hana huruma ndio maana wanakukaanga vizuri bila huruma juu ya sadaka, zaka n.kWakipitisha, dini itaonekana kama sehemu ya biashara
Tatizo Ni kwamba madhehebu mengi ni Waroma waasi... Yani Kama Anglikana Ni Waroma walioruhusu Mambo flani flani.
Na anyeanzisha huwa Kuna Jambo lake limefeli ndani ya Roma so anatokea ubavuni na kuleta kipya chenye uzamani ndani.
Bila kuacha Dini ambayo ni man made tumeisha peupee.
Sala ya baba yetu inaongelea ufalme sisi tuanongelea Dini.
Wapuuzi Sana Hawa, wanatuharibia kizazi chetuVita kubwa iliyopo ni ya Umakini na Taarifa ili wafanikishe kutufanya tuwe wa fikra moja na za kupangiwa. Na shida huwa wanashawishi baada ya kujielezea ( Lie of Influence even kwa polite language )
Hiki kitu ndio hawataki kukiskia Mana ni kigumu Sana kwao.upendo
Ndo nenda kachimbue zaidi ujue, uondokane na story za vijiweni.kupitia surrogate mother au?
Ni sababu hawataki kukutana na mwanamme ila wanapenda wawe na watoto nawarithi wa walichovuna. Wangependa kupata mtoto kamahapa nchini kuna utaratibu wa sperms donation kama nchi zilizoendelea. Hapa hatuna hiyo huduma.Hapa kuna swali la msingi, kwanini wameasili(adopt) mtoto ,jibu ni dhahiri hawana uwezo wa kupata mtoto!
Kama dunia nzima ikiwa hivyo hatutakuwa na kizazi kingine
Heheee..umefika mbali sana kwamba watakua wanatinduana kanisani..?Papa anataka wakati wa misa kanisa lote liwe linanuka mavi.haaa!,,,,wazungu wakati mwingine ni mbwa tu.
Nakuunga mkonoWakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Bora mama/bibi umeamua useme ukweli, ubarikiwe sanaaaa.Mimi naandika kama mama na bibi. Naeleza hili siyo mara ya kwanza kuwa watu kuwa shoga yaweza kuwa maumbile na zile chromosomes zikiwa mchanganyiko au wengine wanakuwa hivyo sababu ya matukio kama kubakwa wakiwa watoto wanaamua kuchukia jinsia yao nyingine.
Tumesikia stori humu humu za watu waliokuwa mashoga na kilichowafanya hivyo.
Nimesoma shule na wasichana waliokuwa wanapendana sana kiushoga tukadhani ni shule za bweni lakini mpaka sasa wana miaka 60 na zaidi wapo wote na wameasiri watoto wa ndugu zao na wameishi maisha mazuri. Sitaji vyeo na mahali walipopitia kwa kuwasitiri.
Ushoga upo ila tutakubali kama walivyofanya ulaya baada ya miaka 200. Hitler aliua mashoga wengi tu. Aliyetengeneza Computer nakuweza ku Crack codes za ma nazi aliwekwa kizuizini baada ya vita ya pili. Alipewa sumu na ukiingia the London Musium of Science utasoma historia yake.
Vipi mwanao wa kiume uliyebeba mimba miezi 9 unategemea akuletee wajukuu ukakuta ninampumulia utajisikiajeMimi naandika kama mama na bibi. Naeleza hili siyo mara ya kwanza kuwa watu kuwa shoga yaweza kuwa maumbile na zile chromosomes zikiwa mchanganyiko au wengine wanakuwa hivyo sababu ya matukio kama kubakwa wakiwa watoto wanaamua kuchukia jinsia yao nyingine.
Tumesikia stori humu humu za watu waliokuwa mashoga na kilichowafanya hivyo.
Nimesoma shule na wasichana waliokuwa wanapendana sana kiushoga tukadhani ni shule za bweni lakini mpaka sasa wana miaka 60 na zaidi wapo wote na wameasiri watoto wa ndugu zao na wameishi maisha mazuri. Sitaji vyeo na mahali walipopitia kwa kuwasitiri.
Ushoga upo ila tutakubali kama walivyofanya ulaya baada ya miaka 200. Hitler aliua mashoga wengi tu. Aliyetengeneza Computer nakuweza ku Crack codes za ma nazi aliwekwa kizuizini baada ya vita ya pili. Alipewa sumu na ukiingia the London Musium of Science utasoma historia yake.
Ufafanuzi zaidi wa hizo nchi zinazotaka kuvua nguo kombe la dunia?Mkuu hii kitu ipo dunia nzima inashika kasi
Ndo maana unaona World Cup nchi kama 9 za ulaya zimejipanga 'kuvua nguo' pale Qatar
Hata ligi zao hizi wanachochea hayo mambo sana. Na hayo mambo sasa hivi wanaume wanayapenda sana maana pepo mchafu kaachiliwa kumtafuna kila atakayekubali.
BEWARE WHEN YOU SEE THIS:
View attachment 2414294View attachment 2414298View attachment 2414299
Wenyewe wanakuambia ONELOVE
gharika is soon coming!!!
Ndo muwaache wao binadamu waliotindikiwa ubongo wacheze na faragha zao.Huu upuuzi hata wanyama hawafanyi, ni binadamu tu waliotindikiwa ubongo!
Paragraph ya pili ndo umemaliza kila kitu, kumbe sometimes huwa uko timamuuu eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi tulizo nazo nyingi ni taasisi za kidini za kibiashara, why mfanyabiashara yeyote hana huruma ndio maana wanakukaanga vizuri bila huruma juu ya sadaka, zaka n.k
Dini ya kweli hua imo ndani ya mtu hata kabla hajafundishwa na mtu yeyote, ila anapofundishwa anaongezea maarifa tu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wangependa na hao watoto waliowaadopt wawe mashoga?Ni sababu hawataki kukutana na mwanamme ila wanapenda wawe na watoto nawarithi wa walichovuna. Wangependa kupata mtoto kamahapa nchini kuna utaratibu wa sperms donation kama nchi zilizoendelea. Hapa hatuna hiyo huduma.
Biblia iko wazi kwenye Ufunuo 21:8 lakini husikii viongozi wa dini wakizungumzia, Utasikia wanaandika waraka kuishauri Serikali izingatie demokrasia, lakini hutasikia waraka wa kukemea mapenzi ya jinsia moja!
Na Hawa ndio wanafuatwa na mamilioni ya watu! What a shame
Mkuu cocastic, umemiangusha sana leo! Kumbe hata wewe...!Sasa unaamuaje??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna bado kidogo tyuuh ushoga n ruksa, na hakuna kitu mtafanya, tena km Africa ndo kabisa hakuna mtakachofanya, zaidi ya kuinamishana kwa kwenda mbeleee.