Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Kwani dhambi ni ndoa za jinsia moja pekee? dhambi zote zipo sawa mbele za MUNGU, Papa yupo sahihi
 
Msipotoshe kuhusu Papa


Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.
Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.
Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.

Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.
Vaticani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema makuhani lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi.
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".
Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.
Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.
Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.

Hii ni taarifa ya BBC
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta kampani ya kufa nao. Uislamu una sheria kali sana kuhusu hayo mambo walishajaribu imeshindikana.
 
Jamaa wanabariki tu masista wanasagana na mapadri wanafukuana mitaro Papa anaonyesha jinsi gani yeye ni Shoga hadi anamaliza muda wake policy zote za Vatican zitakua zinakubariana na ushoga na mashoga kwa hio RC litakua kanisa la mashoga rasmi
 
Naona mko kwenye Kampeni ya kupotosha kwenye hili la papa...hivi mashoga wote huko mwananyamala, kinondoni, tabata, zenji etc , wametengwa na jamii au jamii inashirikiana nao kwenye mambo mbalimbali? Kwa uelewa wangu viongozi wa dini huwa wanatembelea hata wafungwa waliofanya mabaya sana na kuwapa baraka
 

Attachments

  • pope.PNG
    39.1 KB · Views: 2
We nawe!

Warumi au waroma walishachinja mamillion ya watu kwa kigezo Cha vita vya Imani!

Leo tumempoteza Joshua!ndio mnaanza kufikiri hayo!!?

Vita vya kidini ndio vimeua wengi kuliko hata vita nyingine yeyote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…