jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Umemaliza mkuuDini biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza mkuuDini biashara
Naomba andiko linalosindikiza hoja yako🤣🤣Fuateni dini acha kufuata watu...Umepewa akili ya kung'amua mambo....Hilo ni tamko lake yeye kama binadamu wala halikuhusu.
Nilimpenda sana papal John Paul.Mbaya sana kua na Papa Shoga
Kwani dhambi ni ndoa za jinsia moja pekee? dhambi zote zipo sawa mbele za MUNGU, Papa yupo sahihiSidhani kama bado tuko Kwenye nyakati za Manabii wa Ukweli' kwa Sababu dalili zote zinaonyesha Ule Mwisho wa Ulimwengu huu umekaribia
Tunaishi katika Nyakati ngumu sana Joshua Mollel kachinjwa kama ngamia
Kana Kwamba hiyo haitoshi Papa Francisco anayeketi kitini pake mtume Petro anahalalisha Ndoa za Jinsia Moja, Watoto wetu wamekwisha
Ghadhabu ya Mungu wa mbinguni itakuwa Zaidi ya Sodoma na Gomola
Na Nchi zinazoishi kwa Mikopo Ndoa za Jinsia Moja zaweza Kuwa Sharti la kukopesheka
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Nionyeshe kweny bible wapi wameandika kubariki ndoa za jinsia moja!?Naomba andiko linalosindikiza hoja yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta kampani ya kufa nao. Uislamu una sheria kali sana kuhusu hayo mambo walishajaribu imeshindikana.baada ya ukatoliki unafuata uislam, tena waislam tayari wameshana kwenye mitego ya ushoga na usagaji hawachomoki, afadhali ya wakristo wengi hawatanasika na mitego hiyo wanaijua tangu karne nyingi ipo ndio maana wakristo wana madhehebu mengi yanamchanganya shetani ashambulie wapi hajui. Kapiga kwa waangalikana, wakatoliki huku wengine wakikimbilia kuabudu sehemu salama. Uislam hauna altenative way ukipigwa pigo moja tu unakufa forever na hautainuka tena duniani
Jamaa wanabariki tu masista wanasagana na mapadri wanafukuana mitaro Papa anaonyesha jinsi gani yeye ni Shoga hadi anamaliza muda wake policy zote za Vatican zitakua zinakubariana na ushoga na mashoga kwa hio RC litakua kanisa la mashoga rasmiMsipotoshe kuhusu Papa
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.
Lakini Vatikani ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.
Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.
Papa Francis aliidhinisha waraka uliotolewa na Vatican kutangaza mabadiliko hayo siku ya Jumatatu.
Vaticani ilisema inapaswa kuwa ishara kwamba "Mungu anawakaribisha wote", lakini hati hiyo inasema makuhani lazima waamue kwa msingi wa kesi baada ya kesi.
Akitambulisha andiko hilo, Kardinali Víctor Manuel Fernández, ambaye ni msimamizi wa Kanisa, alisema kwamba tamko jipya limebakia kuwa "imara kwenye fundisho la kimapokeo la Kanisa kuhusu ndoa".
Lakini aliongeza kuwa kwa kuzingatia "maono ya kichungaji" ya Papa" ya "kupanua" ombi la Kanisa Katoliki, miongozo mipya inawaruhusu mapadre kubariki uhusiano ambao bado unachukuliwa kuwa wa dhambi.
Watu wanaopokea baraka "haifai kuhitajika kuwa na ukamilifu wa kimaadili wa awali", kulingana na tamko hilo.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu ambariki mtu au watu wanaobarikiwa.
Kardinali Fernández alisisitiza kwamba msimamo huo mpya hauhalalishi hadhi ya wapenzi wa jinsia moja mbele ya Kanisa Katoliki.
Hii ni taarifa ya BBC
Naona mko kwenye Kampeni ya kupotosha kwenye hili la papa...hivi mashoga wote huko mwananyamala, kinondoni, tabata, zenji etc , wametengwa na jamii au jamii inashirikiana nao kwenye mambo mbalimbali? Kwa uelewa wangu viongozi wa dini huwa wanatembelea hata wafungwa waliofanya mabaya sana na kuwapa barakaSidhani kama bado tuko Kwenye nyakati za Manabii wa Ukweli' kwa Sababu dalili zote zinaonyesha Ule Mwisho wa Ulimwengu huu umekaribia
Tunaishi katika Nyakati ngumu sana Joshua Mollel kachinjwa kama ngamia
Kana Kwamba hiyo haitoshi Papa Francisco anayeketi kitini pake mtume Petro anahalalisha Ndoa za Jinsia Moja, Watoto wetu wamekwisha
Ghadhabu ya Mungu wa mbinguni itakuwa Zaidi ya Sodoma na Gomola
Na Nchi zinazoishi kwa Mikopo Ndoa za Jinsia Moja zaweza Kuwa Sharti la kukopesheka
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Vyombo vyote vikubwa vya habari duniani vimeripoti hii habari kwahiyo hajasingiziwa.Hii si mara ya kwanza. Mmeshamsingizia mengi sana huyu kwamba kayasema..!! Endeleeni
We nawe!Sidhani kama bado tuko Kwenye nyakati za Manabii wa Ukweli' kwa Sababu dalili zote zinaonyesha Ule Mwisho wa Ulimwengu huu umekaribia
Tunaishi katika Nyakati ngumu sana Joshua Mollel kachinjwa kama ngamia
Kana Kwamba hiyo haitoshi Papa Francisco anayeketi kitini pake mtume Petro anahalalisha Ndoa za Jinsia Moja, Watoto wetu wamekwisha
Ghadhabu ya Mungu wa mbinguni itakuwa Zaidi ya Sodoma na Gomola
Na Nchi zinazoishi kwa Mikopo Ndoa za Jinsia Moja zaweza Kuwa Sharti la kukopesheka
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Umenikumbusha mbali saanaMzee mgaya ashashiba ulanzi
Kwahiyo Wewe umeolewa na mwanamke mwenzio?Kwani dhambi ni ndoa za jinsia moja pekee? dhambi zote zipo sawa mbele za MUNGU, Papa yupo sahihi
Soma uelewe kwanza, shida yenu UWT hamtafakari, jaribu kumwelewa PapaKwahiyo Wewe umeolewa na mwanamke mwenzio?
Nilikuwa nikipita pale na Kiswele bus lazima nibebe mkangafu Lita 5!Umenikumbusha mbali saana
Ulanzi mtogwa mixer mkangafu
Muziki virunga
Location Tanangozi.......Mafinga
90's
😄MkangafuuUmenikumbusha mbali saana
Ulanzi mtogwa mixer mkangafu
Muziki virunga
Location Tanangozi.......Mafinga
90's