Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Issue ya Leo au kesho hakuna ajuae mkuuLabda!
Ila amini sio leo wala kesho
Hapana hayajaanza LeoMkuu Tayana,
kwani haya mambo yameanza sasahivi?
Zamani maisha yalikua matamu bn ππUmenikumbusha mbali saana
Ulanzi mtogwa mixer mkangafu
Muziki virunga
Location Tanangozi.......Mafinga
90's
Kardinal Tagle n mtu sahihi sana kuja kurithi nafasi ya papa.Huyu mtu sijui walimpata wapi. Wafanye hima wamtengue na nafasi yake aichukue ama Cardinal Arinze au yule mfilipino Luis Antonio Tagle .Kanisa linahitaji kuongozwa na kiongozi kutoka Afrika au Asia
unabishana hata na vyombo vya habari vikubwa duniani kama BBC?
BBC ni ya wa Anglicans, CNN JE?Hujui kitu we zwazwa tu
Jiulize kanisa la anglican linaunga mkono ndoa za jinsia moja(same sex marriage)
Uliwahi kuona BBC wanaripoti kwa ukakasi habari kuhusu anglican?
Muwe mnafanya utafiti kabla ya kukurupuka.
WAO WENYEWE HAWARUHUSIWI KUOA WALA KUOLEWA,SASA NI WEZO KUWA MICHEZO HIYO YA KUFIRANA WAMEANZA WENYEWE HAO MAPAPA,SASA WAMEONA BORA WAHALALISHEE KILA KITU KIWE MSWANOOO....Nilijua tu it was a matter of time before mapembe yaonekane,wamekuwa wakiutengeneza ushoga for along time kwa viongozi wao kulawiti watoto wadogo,Leo aibu naiona mm.
Hii itakuwa Imepenya ππHatutaki mada za kijinga hapa
unabishana hata na vyombo vya habari vikubwa duniani kama BBC?
Wewe Yohana wewe! Nenda Semtema kajinywee ulasi! Haya ya Mshindo muachie padri MalivaSidhani kama bado tuko Kwenye nyakati za Manabii wa Ukweli' kwa Sababu dalili zote zinaonyesha Ule Mwisho wa Ulimwengu huu umekaribia
Tunaishi katika Nyakati ngumu sana Joshua Mollel kachinjwa kama ngamia
Kana Kwamba hiyo haitoshi Papa Francisco anayeketi kitini pake mtume Petro anahalalisha Ndoa za Jinsia Moja, Watoto wetu wamekwisha
Ghadhabu ya Mungu wa mbinguni itakuwa Zaidi ya Sodoma na Gomola
Na Nchi zinazoishi kwa Mikopo Ndoa za Jinsia Moja zaweza Kuwa Sharti la kukopesheka
Mungu wa mbinguni Uturehemu Sisi!
Sio wewe Netanyau jeshi lako linalofunga ndoa za jinsia Moja likiwa vitani Gaza?Hatutaki mada za kijinga hapa
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπππππππππ Utafukiwa kama mzogaSijawahi kuwa muumini wa dini yoyote
Nipo tu na Mungu wangu moyoni mwangu
Hao Mods wamefanya jambo sahihi tu kufuta mada za kijinga. Mnaleta upotoshaji wenu humu halafu mnataka muachwe tu. I wish mngepigwa hata BAN kabisa ili muwe na akili timamu.Mods wa jf hivi mkoje nyie? Taarifa imenukuliwa na vyanzo rasmi kutoka Vatican na Wala sio mara ya kwanza Kwa Papa Francis kuleta mabadiliko yanayohusiana na Ushoga ikiwemo Kumtimua Askofu aliyekuwa anapinga.
Sasa nataka kufahamu mlifuta mada niliyoanzisha Jana Kwa kunukuu taarifa rasmi kama ilivyoripotiwa na The Citizen Kwa sababu zipi hasa?
View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
On top of that mlifuta mada niliyonukuu kutoka Millard Ayo kuhusu Serikali kutangaza nafasi za kazi Kwa wanaotaka kwenda Saudia nayo mkafuta Kwa nini?
View: https://www.instagram.com/p/C1APjjyCoIf/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Swali Kwa mods wa jf,Je hivyo vyomba vya habari sio credible source kwamba nyie hamvitambui ama?
Je mnaweza kuniambia nimevunja kanuni ipi ya jukwaa lenu?
Israel haijawahi kuruhusu upumbavu hata siku moja, waulize HamasSio wewe Netanyau jeshi lako linalofunga ndoa za jinsia Moja likiwa vitani Gaza?