Mods wa jf hivi mkoje nyie? Taarifa imenukuliwa na vyanzo rasmi kutoka Vatican na Wala sio mara ya kwanza Kwa Papa Francis kuleta mabadiliko yanayohusiana na Ushoga ikiwemo Kumtimua Askofu aliyekuwa anapinga.
Sasa nataka kufahamu mlifuta mada niliyoanzisha Jana Kwa kunukuu taarifa rasmi kama ilivyoripotiwa na The Citizen Kwa sababu zipi hasa?
View: https://www.instagram.com/p/C1AHCA1IvVs/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
On top of that mlifuta mada niliyonukuu kutoka Millard Ayo kuhusu Serikali kutangaza nafasi za kazi Kwa wanaotaka kwenda Saudia nayo mkafuta Kwa nini?
View: https://www.instagram.com/p/C1APjjyCoIf/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Swali Kwa mods wa jf,Je hivyo vyomba vya habari sio credible source kwamba nyie hamvitambui ama?
Je mnaweza kuniambia nimevunja kanuni ipi ya jukwaa lenu?