Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Miongoni mwa madhehebu ya hovyo ya wakristo...kuna lengine linaitwa casfeta

Tutahakikisha tunayaondoa hata kwa dua

ALLAH AKBAR
CASFETA sio dhehebu mkuu ni sawa useme UKWATA ni dhehebu.

Hayo ni makundi tu ya dhehebu flani ambao wameamua kuwapa watu wao wote wanao ungana jina moja.

Dhehebu ni Lutheran,RC,Pentekoste,T.A.G Nk
 
Nawaza namna kanisani wanaume wawili wamekaa pamoja kama wapenzi na pembeni yao kuna mtoto..sijui hii imekaaje.

ningekua RC ingekua mwisho kwenda kansani siku tu naskia tangazo hilo limesomwa kanisani/ibadani
 

MKUU SASA HASIRA UNANIPATIA MIMI KWANI NI PAPA MKUU??

UNASEMA UNATAKA KUPINGA HIVYO VITENDO,UNAWEZAJE KUPINGA MAELEKEZO YA KIONGOZI WAKO MKUU WA DINI??

MTAFUTE MTAFUTE,MTAFUTE WA KURUKA NAAEEEE
 
Nawaza namna kanisani wanaume wawili wamekaa pamoja kama wapenzi na pembeni yao kuna mtoto..sijui hii imekaaje.

ningekua RC ingekua mwisho kwenda kansani siku tu naskia tangazo hilo limesomwa kanisani/ibadani
TEH TEH TEH

MKUU VIPI TENA,MTAFUTE WAKO UKARUKE NAE MKUU,PAPA KESHATOA RUKSA YA KUTANUANA MARINDA MKUUUU
 
Wakristu katika giza la ufiraji

Waislamu katika giza la mauji kwa kivuli cha jihadi

Shetani ameshaziteka hizi Imani mbili, wakristu na waislamu wamebaki kushutumiana tu nani ni mchafu kuliko mwenzie


ila papa Fransisi inapaswa anyongwe aisee
Ni balaa kubwa na wafuasi wao wanatetea matamko bila kuangalia jamii yetu inapata hasara gani.Jambo hili likikikuta kwenye familia yako utajuta kutetea uovu huu mkubwa katika jamii yetu.
Biblia inasema zinaa hata isitajwe kwenu.
 
Hameni mtuachie kanisa letu tufunge ndoa kwa raha. 😂😂

Kesho naenda kigangoni kufunga ndoa, ole wake mtu alete mbambamba.

Mimi na dem wangu tumeruhusiwa na PAPA kutafunana bila bughudha.
Usimsahau na Pancha Its Pancho naye ana jambo lake, michango ishaanza na vipimo vya shela tayari huku 🤣🤣🤣🤣
 
The citizen na Millard ayo ndio credible hahhahaha haupo serious? Nenda kafanya quotation ya Website rasmi ya Vatican na Papa why uokoteze Ayo Tv ambao hawana wachambuzi makini.

Hata hao Citizen wamefeli kutafsiri sijui shida ni lugha ama vipi. Ni kama Papa aseme Mungu ni wetu sote iwe Mwizi, kahaba, shoga, mlevi n.k. sasa Kichwa cha habari wataandika; Papa asema Mashoga ni watu wa Mungu...
 
Naona akina BBC mna push sana agenda hii, sijajua mna maslahi gani nayo. Kanisa Katoliki muda wote linakanusha mambo haya, lakini bado tu mmeshikilia. Tuwekee waraka wa Vatican tuusome!
 
Hili Kanisa lilikuwa pekee lenye heshima duniani sijui kwa wenye heshima zao watafanyaje au ndo kubaki kuugulia maumivu tu!!!
 
once you are Roman, you are roman, you will never step out... kuna level ukishafikia kwenye mashirika ya kimafia au hata uchawi basi huwezi kugeuka tena, ukigeuka lazima ufe au wakuzime data..

Wake wanaojua histori ya Italian Mafia aka wazee wa Sicily, bila shaka wataelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…