Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Nilichomwelewa ni kuwa hatutakiwi kuwatenga wenye dhambi, na dhambi sio ushoga na usagaji tu, HUKOHUKO kuna wezi, wazinzi na waongo, ukianza fukuza kanisa halitabaki na watu


MWISHO MWENYE KUHUKUMU NI MUNGU PEKEE SIO BINADAMU MSIJIPE MAMLAKA HAYO KUMBUKENI WENGINE HUONGOKA SIKU YA MWISHO YA KIFO CHAO,

YESU ALISHINDA NA KULA NA WENYE DHAMBI DAIMA UNGEJIULIZA KWA NINI
 
Huna uwezo wa kuelewa kilichoandikwa na hujui tafsiri sahihi ya neno la kiingereza "blessing"
Ndio tunaomba utueleweshe wewe uliyemsomi mwenye PhD ama DD ili tuelewe maana ya blessings ama blessing kama ulivyoandika kwani kumwelewesha mwingine kuhusu masuala ya Mungu ni kosa au mnaficha nini? Huenda sisi tumeelewa tofauti tunaomba msaada ili tusije kutenda dhambi.
 
Badala uhame wewe unataka kupinga.

Yaani uende bar Kisha uanze kupinga ulevi!!
 
Acheni upotoshaji Papa alichomaanisha badala y kuwatenga na kuwaaua wapokeeni wahubirie madhara ya ushoga ili waache

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Acheni upotoshaji Papa alichomaanisha badala y kuwatenga na kuwaaua wapokeeni wahubirie madhara ya ushoga ili waache

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kama hivyo sawa kwamba waje na wenza wao,wahudhurie misa takatifu na wenza wao wabarikiwe hadi hapo watakapotambua madhara ya ushoga kisha wapeane talaka watubu ndiposa waruhusiwe kushiriki sakramenti.
 
Wakristu katika giza la ufiraji

Waislamu katika giza la mauji kwa kivuli cha jihadi

Shetani ameshaziteka hizi Imani mbili, wakristu na waislamu wamebaki kushutumiana tu nani ni mchafu kuliko mwenzie


ila papa Fransisi inapaswa anyongwe aisee
Ukristo sio dini mkuu na hauna hizo sifa ulizotaja hapo.
 
Siyo kila kanisa limetoka Catholic. Wengine wamesoma Biblia na kuanzisha kanisa. Katoliki siyo wamiliki wa Biblia.
 
Wewe fuata mafundisho ya dini yako ya wakatoliki waachie wao na Mungu wao
 
Naona unangaika kuliweka sawa ila huwezi kabisa papa kaharibu kila kitu shoga mkubwa.
 
Hebu weka huo waraka hapa kama ulivyo.., kisha usome halafu uone wapi kasema hayo..
 
Kuna propaganda za kikyuma sana kwenye hii habari na wengi wameingia mkenge kwa kujua au kuto kujua.
Habari za kanisa katoliki sio kama habari za uchawa zina protocol yake ya kutangaza na kufikia waamini wote.

Msiopenda kanisa katoliki tulizeni vijambio vyenu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…