Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

Kanisa Katoliki Afrika na sehemu nyingine duniani wasiokubaliana na ushoga linabidi lijitenge na Kanisa Katoliki Ulaya na Marekani hasa huyu Papa na mambo yake. Kanisa linabidi lirudi kwenye misingi ya Ukristo.

RC Afrika inabidi wawe na Papa wao Mwafrika, mwingine ambaye ataweka wazi anapinga ushoga 100% bila kupepesa macho, anayefuata maadili ya Kiaafrika na Biblia na maagizo ya Mungu matendo ya Yesu na mitume.

Anglican Church walijitenga miaka 500, vivyo hivyo Lutheran, SDA, Methodist , Morovians na other protestants churches.

Huyu Papa anawachanganya waumini. Hana nia wala msimamo thabiti, imara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan amewalazimisha? Waache tyuuh. Khaaah
 
Mara kwa mara kunapoibuka mijadala huru ya kuukosoa ukatoliki (kama zilivyo taasisi zingine zote zilizoundwa na watu), wafia ukatoliki wengi wamekuwa na fikra mgando za kuhisi wakosoaji ni watu wenye chuki binafsi dhidi ya ukatoliki, na kwa haraka sana washika ukatoliki wamekuwa wakijificha kwenye kichaka dhaifu cha kujivunia historia ya muda mrefu ya kuwepo kwa ukatoliki duniani.

Sisi watu wengine huru, tumekuwa tukisisitiza haya, japokuwa wafia ukatoliki wamekuwa wagumu kutuelewa.

1. Kanisa Katoliki la sasa na la kale halikuanzishwa na Yesu kristo na wala halina uhusiano wowote na mitume wa Yesu wakati wa kuanzishwa kwake. Kwanini? Kanuni na misingi yake havihusiani moja kwa moja na Yesu kristo au mitume wake tunaowasoma kwenye Biblia.

2. Kanisa Katoliki lilianzishwa na watu wa jamii fulani ili kukidhi mahitaji ya kiimani, kijamii na kisiasa ya jamii hiyo kwa nyakati hizo, na mpaka sasa limeendelea kuwepo ili kukidhi mahitaji ya kundi hilo.

3. Kanisa Katoliki limekuwa likibadilika kila mara kiimani kulingana na matakwa na mahitaji ya kijamii ili kuhakikisha linaendelea kuwepo katika karne nyingi zaidi.

4. Historia ya kanisa Katoliki imezungukwa na mambo mengi mnoo, yamekiwemo yenye kutia aibu, kinyaa, kufedhehesha na kibagani.

5. Ni ujinga na upumbavu kuamini ukatoliki unaweza kukufikisha mbinguni wakati wewe mhusika hauna uhusiano kamili binafsi wa kiimani na Yesu kristo.

6. Papa ni mtu tu, tena mwenye utashi binafsi na udhaifu mwingi wa kibinadamu. Hakuna uhusiano wowote wa kiuungu katika nafasi ya upapa.

Sasa kwa kuwa Vatican kupitia waraka wa Papa imeweka wazi kuwa Ushoga ni sehemu ya maisha yenye baraka ndani ya ukatoliki (Yaani makasisi wako huru kuwabariki mashoga katika maisha yao ya kishoga, na kamwe mashoga wasitengwe wala kubughudhiwa kiimani). Tamko ambalo limetukura na kutushangaza mnoo watu wengi tunaopinga ushoga. Sasa wale wafia ukatoliki, njooni sasa mjivunie ukatoliki wenu katika hili.
 
1703022633069.png
 
Amini amini nakwambia, morals tulizokuwa nazo most of them are influenced by scriptures(either bible or Qur'aan)

Waisrael zamani wakiwa wanapitapita na ku-interract na watu wa mataifa mengine walikuwa wanasifika sana na kuonekana watu wenye hekima na busara, sasa kitu gani kilichokuwa kinawafanya waonekane wana hekima?? Ni Torati, kushika sheria za torati kuliwafanya waonekane wa tofauti sana, kuanzia kitabia na hygiene, torati ndo ilikuwa tofauti yao na mataifa mengine.

Wewe hutazama filamu za wachina ambao hawavijui hivi Vitabu??? Unazionaje moral zao
 
Kuna wakati unaweza kukubaliana na wanaomuhusisha Papa na alama ya mpinga Kristo 666, kuna mambo mengi sana ukiyachunguza utagundua kuna Siri kubwa sana zimejificha nyuma ya Roman Catholic. Kuanzia kutoruhusiwa kuoa wakati wanaongoza kwa uhuni na kulawiti watoto na mengine mengi. Ila muda unavyozidi kwenda wanazidi kujiweka wazi uhalisia wao. Mbele tunakoelekea ni pabaya kuliko tulipotoka. Mwenyezi Mungu atuongezee busara na maarifa. Hali sio poa.
 
Mara kwa mara kunapoibuka mijadala huru ya kuukosoa ukatoliki (kama zilivyo taasisi zingine zote zilizoundwa na watu), wafia ukatoliki wengi wamekuwa na fikra mgando za kuhisi wakosoaji ni watu wenye chuki binafsi dhidi ya ukatoliki, na kwa haraka sana washika ukatoliki wamekuwa wakijificha kwenye kichaka dhaifu cha kujivunia historia ya muda mrefu ya kuwepo kwa ukatoliki duniani.

Sisi watu wengine huru, tumekuwa tukisisitiza haya, japokuwa wafia ukatoliki wamekuwa wagumu kutuelewa.

1. Kanisa Katoliki la sasa na la kale halikuanzishwa na Yesu kristo na wala halina uhusiano wowote na mitume wa Yesu wakati wa kuanzishwa kwake. Kwanini? Kanuni na misingi yake havihusiani moja kwa moja na Yesu kristo au mitume wake tunaowasoma kwenye Biblia.

2. Kanisa Katoliki lilianzishwa na watu wa jamii fulani ili kukidhi mahitaji ya kiimani, kijamii na kisiasa ya jamii hiyo kwa nyakati hizo, na mpaka sasa limeendelea kuwepo ili kukidhi mahitaji ya kundi hilo.

3. Kanisa Katoliki limekuwa likibadilika kila mara kiimani kulingana na matakwa na mahitaji ya kijamii ili kuhakikisha linaendelea kuwepo katika karne nyingi zaidi.

4. Historia ya kanisa Katoliki imezungukwa na mambo mengi mnoo, yamekiwemo yenye kutia aibu, kinyaa, kufedhehesha na kibagani.

5. Ni ujinga na upumbavu kuamini ukatoliki unaweza kukufikisha mbinguni wakati wewe mhusika hauna uhusiano kamili binafsi wa kiimani na Yesu kristo.

6. Papa ni mtu tu, tena mwenye utashi binafsi na udhaifu mwingi wa kibinadamu. Hakuna uhusiano wowote wa kiuungu katika nafasi ya upapa.

Sasa kwa kuwa Vatican kupitia waraka wa Papa imeweka wazi kuwa Ushoga ni sehemu ya maisha yenye baraka ndani ya ukatoliki (Yaani makasisi wako huru kuwabariki mashoga katika maisha yao ya kishoga, na kamwe mashoga wasitengwe wala kubughudhiwa kiimani). Tamko ambalo limetukura na kutushangaza mnoo watu wengi tunaopinga ushoga. Sasa wale wafia ukatoliki, njooni sasa mjivunie ukatoliki wenu katika hili.
Aya ya nne (nimeiambatanisha) ya hilo tamko inakazia ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke, na kwamba tofauti na hapo ni chukizo mbele ya Mungu.
Screenshot_20231219_231242_Chrome.jpg


Ni aya ipi ya hilo tamko inafundisha ushoga si dhambi? Tuwekee hapa.
 
Mjadala sio wa islam tuna zungumzia ushoga ndani ya kanisa katoloki .

Hata mimi huwa najiuliza sana kwenye haya mambo ya ushoga na katoloki plus siasa za dunia,katoloki ni dini ilio anzishwa baada ya Jésus na walio ianzisha no wale wale walio kuwa Wana mpiga vita jesus kabla hajatoweka

Yani haya mambo unatakiwa ufikie nje ya box ndio utawaelewa Kwa sababu unaona kama Wana elewana Sana na utawala uliopo ulimwenguni

Ukiwatafari kiundani unao kabisa kama kuna ajenda nyuma ya haya mambo wala huwezi kuskia hata Siku moja wakiwaongelea vibaya wa kuu wa kanisa la katoloki ao kupigwa vita na Hao watawala

Lakini ukirudi nyuma na ukitazama mbele historia ya dini IPO middle est SAsa huwa napata ukakasi ilikuwaje kanisa kuu la katoloki linapatikana Europe ITALY ?

Kwa sababu hapa duniani njia ziko 2 tu ,ya uongofu na ya upotevu.

Na ukweli Siku zote huwa unapigwa vita navojuwa mimi kutokana na shetani kuwa na ushawishi mkubwa .
 
Wewe hutazama filamu za wachina ambao hawavijui hivi Vitabu??? Unazionaje moral zao
Wachina ni watu wa ajabu sana ndugu yangu, wana tabia mbaya na ni wachafu.
Sister anafanya nao kazi, yaan hawajui hata kutumia choo, akitoka chooni huingii. Ushawahi ona mtanzania ana tema makohozi kweny carpet?? Hao ndo wachina sasa, huwaga wanawafokeaga na kupeleka kesi kwa maboss wao wa kichina then wanaimaliza kesi wao kwa wao.

Unadhani wachina wana tabia nzuri au hygiene nzuri kuzidi sisi, lahasha wale wanatuzidi determination and discipline tuu ya kufanya kazi kwa bidii.
 
Waraka umesema ushoga ni "sinful relationships" kama zilivyo ndoa za mitala/wake wengi au ndoa bila sakramenti ya ndoa au ndoa za kiserikali na kimila au uchumba sugu au michepuko.,soma vzr kama ulipata "baraka" ya kufahamu lugha, tena kama uko vzr zaidi, nenda kwenye original document ya kilatini kabisa achana na tafsiri hizi za mitandaoni maana tayari nyingi zimeshaingiliwa "kinyume" na ukweli. Ukweli ni kwamba, hizo "irregular relationships" ama "sinful relationships" zipo ktk kanisa lote ulimwenguni kote, hapa unatajwa sana ushoga kwa maksud ili nao ujulikane, usikike na kutambulika kwa malengo yao wanaoutaka, sisi tusiotaka ushoga, tungebaki kuelewa waraka wa papa kwa aina yetu ya maisha, je mimi nikitoka kulala nje ya ndoa yangu, nikienda kanisani nafukuzwa? Nikiomba baraka ya nyumba niliyomjengea mke mdogo nakataliwa? Wangapi tumebatiza watoto tuliojikwaa na kuzaa nje? Hapo ndo tuseme kanisa linaunga mkono kuzaa nje ya ndoa? Kama ni sawa kwangu kupata baraka hizo pamoja na mapungufu yangu, kwanini isiwe sawa kwa mwingine kupata baraka hizohizo pamoja na mapungufu yake? Nadhani hapa ishu sio "baraka", ni ushoga unatafuta pa kupumulia baada ya kubanwa kwa mda mrefu, ukweli ni kwamba, sio ushoga tu bali wadhambi wote wanatamani kuambiwa sio wadhambi na nafasi hiyo haipo ktk kanisa, zaidi ya kupewa wito wa kutubu na kuongoka na kuachana na njia zetu ovu.
 
Miongoni mwa madhehebu ya hovyo ya wakristo...kuna lengine linaitwa casfeta

Tutahakikisha tunayaondoa hata kwa dua

ALLAH AKBAR
Acha ujinga wewe nani alikwambia Mungu ndio dini fulani? Haya mapagani, mawakala ya kishetani yaliyojificha kwenye update, upapa, uchungaji, ushehe, n.k ndio unayaamini yanamzungumzia Mungu wa kweli? Haya yanazungumzia mawazo yao na akili zao zilizopotoka. Nionyeshe wapi kwenye maandiko Mungu aliyeziumba mbingu na nchi aliwahi kuruhusu hivi vitendo vya kishetani (ushoga)?
 

Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu!
---
ROME (AP) — Pope Francis has formally approved allowing priests to bless same-sex couples, with a new document explaining a radical change in Vatican policy by insisting that people seeking God’s love and mercy shouldn’t be subject to “an exhaustive moral analysis” to receive it.

The document from the Vatican’s doctrine office, released Monday, elaborates on a letter Francis sent to two conservative cardinals that was published in October. In that preliminary response, Francis suggested such blessings could be offered under some circumstances if they didn’t confuse the ritual with the sacrament of marriage.

The new document repeats that rationale and elaborates on it, reaffirming that marriage is a lifelong sacrament between a man and a woman. And it stresses that blessings should not be conferred at the same time as a civil union, using set rituals or even with the clothing and gestures that belong in a wedding.

But it says requests for such blessings should not be denied full stop. It offers an extensive definition of the term “blessing” in Scripture to insist that people seeking a transcendent relationship with God and looking for his love and mercy should not be subject to “an exhaustive moral analysis” as a precondition for receiving it.

“Ultimately, a blessing offers people a means to increase their trust in God,” the document said. “The request for a blessing, thus, expresses and nurtures openness to the transcendence, mercy, and closeness to God in a thousand concrete circumstances of life, which is no small thing in the world in which we live.”

He added: “It is a seed of the Holy Spirit that must be nurtured, not hindered.”

The Vatican holds that marriage is an indissoluble union between man and woman. As a result, it has long opposed same-sex marriage.

And in 2021, the Vatican’s Congregation for the Doctrine of the Faith said flat-out that the church couldn’t bless the unions of two men or two women because “God cannot bless sin.”

That document created an outcry, one it appeared even Francis was blindsided by even though he had technically approved its publication. Soon after it was published, he removed the official responsible for it and set about laying the groundwork for a reversal.

In the new document, the Vatican said the church must shy away from “doctrinal or disciplinary schemes, especially when they lead to a narcissistic and authoritarian elitism whereby instead of evangelizing, one analyzes and classifies others, and instead of opening the door to grace, one exhausts his or her energies in inspecting and verifying.”

It stressed that people in “irregular” unions — gay or straight — are in a state of sin. But it said that shouldn’t deprive them of God’s love or mercy.

“Thus, when people ask for a blessing, an exhaustive moral analysis should not be placed as a precondition for conferring it,” the document said.

AP News
Kushabikia ujinga na akili kidogo ya uelewa wa Papa alisema nini!
 

Attachments

Hivi Bado tu hamjashtukia kuwa RC ile sio dini??

Ile ni extension ya Roman Empire ni dola kamili sio dhehebu ya dini.

Hata hivyo RC ina historia ya kuwa na maamuzi tata ndio chanzo cha kuzaliwa makanisa mengine ambayo yanapinga maamuzi yake.

Waprotestant ni zao la RC baada ya kuwa na maamuzi kama ya kununua cheti cha msamaha wa dhambi ambapo fedha zilichukuliwa na kanisa na kutumika vibaya.

Hivyo hata katika hili la ushoga sitashangaa kuona yakizaliwa makanisa mengine toka RC.

Huwa wa RC wanawacheka waprotestant kwa kujiona kuwa wapo sehemu sahihi na ni kanisa lenye misimamo na mizizi mikubwa ila kiuhalisia huko ndiko kwenye matatizo zaidi kuliko huku kwa waprotestant.

Kwa hapa Tanzania wakatoliki tupo nao sana KKKT wanapenda mno kuabudu KKKT kutokana na mfumo wake wa ibada.
 
Huuo ndio msimamo wa papa Francis kuhusu ushoga

1.Ushoga haupaswi kufanywa kosa la jinai( uwe decriminalized katika mataifa ambayo bado ni kosa la jina)

2.Wapenzi wa jinsia mmoja wapewe baraka za kichungaji kama washirika wengine wowote na kanisa.

Ukiwa mkatoliki na papa akiwa ndiye mkuu wa kanisa hapa duniani unakubaliana na papa katika msimamo wake huu kuhusu suala la ushoga?
 
Back
Top Bottom