Kuna mwandishi mmoja aliwahi kusema ukitaka kujua kwamba ushoga ni dhambi kuu dhidi ya kila kitu, yaan ni dhambi ya kijamii, kidini, kiasilia, etc... basi chukua couple 100 za mashoga uwaweke peke yao kwenye mji mmoja. Na kisha chukua couple 100 za kawaida uziweke kwenye mji mmoja. Baada ya miaka 100 utakuta kwenye mji wa mashoga kuna mafuvu tu na maiti lakini kwenye mji wa couple za kawaida utakuta kizazi kipya kimenawiri.
Hio inaonesha kwamba ushoga ni dhambi dhidi ya asili (nature), dhidi ya jamii (social sin) na dhidi ya maumbile (pole marinda ya wahusika)
Papa kakosea sana kwa kuhalalisha hii dhambi, wakatoliki wote tuungane kusema HAPANA juu ya hili. Vizazi vyetu haviwezi kuangamia kwa sababu ya tamko la mzee mmoja ambae hana hata watoto.
Nashauri jumapili ijayo wakatoliki twendeni maeneo ya kanisani lakini tusiingie kanisani bali yubebe mabango ya kuwashinikiza TEC watoe tamko la kupinga kauli ya papa, tukianza sisi wengine watafuata. Kenya, uganda, na afrika nzima itafuata.