Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ndiyo hawa hawa wanaofanya huo ufirauni wao mpaka kwenye mahabusu za polisi.Zanzibar ndiyo ujinga wenu huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hawa hawa wanaofanya huo ufirauni wao mpaka kwenye mahabusu za polisi.Zanzibar ndiyo ujinga wenu huo
Wee taira,umejazwa uzushi wa hao Wahuni umeuamini.Kanisa Katoliki ni taasis inayofanya kazi zake kwa nyaraka.Hebu onyesha waraka kuthibitisha unachokishabikia.Kila mnavyohangaika kideki mikojo ya papa wenu yeye anakojoa tena
Mjinga ni nani kati yangu na wewe?,Mimi Naamini ktk document wewe unaamini ktk Maneno.Ni kwamba hutaki kuamini ulichosikia kwa papa au unahitaji kujipa moyo au ndio undezi wa kufikiria kila kitu ni ligi tu?
Kuwa na dini sio dhambi ila dhambi ni kufikiria dini ndio maisha yako, kufikiria wachungaji, mapadre na masheikh sio binadamu ila wana uungu fulani.
We dogo amka ujipambanie. Acha ujinga
Wewe tuliza komwe,alibariki lini?Papa kaisha bariki ndoa [emoji304] wewe unaumia ukiwa wapi
CNN wana agenda yao ya siri.Inabidi uwe na akili iliyokomaa sana na inayoweza kutafakari mambo kwa kina ili kuwaelewa CNN na agenda zao chafu dhidi ya Kanisa Katoliki.View attachment 2846920hata CNN hawakusoma document?
Ukiona jambo limetoka halafu kinahitaji ufafanuzi kama ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba yako kuwa hakumaanisha hivi hakumaanisha vile ujue kuna shida.
Habari ikiandikwa na bbc huwa imeisha iyo. Habari hii imeripotiwa na BBC pia.Hiyo taarifa haina ukweli. Huyo anali trendisha ili kulipa airtime
roho inaniuma kivipi wewe?,Nasikitika kwa jinsi Kanisa la Mungu linavyopakwa matope kwa maneno ya uzushi.[emoji23][emoji23]Jamaa roho inauma ila ndio ukweli ni suala la muda tu ,hata kuvaa vichupi kanisani walianza hawa mkafuata .
HaitakusaidiaUnatumia vivo model gan [emoji23][emoji1373]
Uzushi wakati ni kweli!roho inaniuma kivipi wewe?,Nasikitika kwa jinsi Kanisa la Mungu linavyopakwa matope kwa maneno ya uzushi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Madhara kama yapi mkuuMkuu haya mambo ni laana Yana madhara makubwa sana katika dunia
Leta ushahidi wa andiko sio Maneno ya hao Washenzi.Uzushi wakati ni kweli!
Ushahidi gani? Unataka upi ? wakati hata hao priests asilimia 80 ni mashoga kwani hujui🙄?Leta ushahidi wa andiko sio Maneno ya hao Washenzi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Si cnn tu au nikuletee reference nyingineCNN wana agenda yao ya siri.Inabidi uwe na akili iliyokomaa sana na inayoweza kutafakari mambo kwa kina ili kuwaelewa CNN na agenda zao chafu dhidi ya Kanisa Katoliki.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app