Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Status
Not open for further replies.
Usikute huyu papa ni chocolate wenzake wanambokoa
 
Tate Mkuu alikua anakanusha wakati ule swahiba wa ubelgiji alipotetea hili jambo la ushoga akisema ati ni jambo praiveti
Kuna sehemu nimesoma, Papa hajaruhusu hilo jambo.

Ila ikitokea siku wakaamua kubariki huo ushweitwani, haki ya nani nitaachana kabisa na mambo ya kusali. Kubariki huo upuuzi, kutaleta mgawanyiko mkubwa kwenye Kanisa.
 
Kwani Tate Mkuu anasemaje?
Kamwe Wahafidhina ndani ya Kanisa hatutakubaliana na huo ushetani. Siku ikitokea hao watu wakapata haki ya aina yoyote ile, aidha wengi tutaacha kusali! Au tutaanzisha Kanisa lingine la Katoliki lisilofungamana na hao watu.
 
Dunia ipo kasi sana kiasi waliyomo ndani wanashindwa kuruka wataumia!
 
Kama kawaida yako unatoka nje ya reli. Maelezo mengi ila out of context. KANISA LINASEMA NI DHAMBI NA HALITAMBUI MAPENZI YA JINSIA MOJA. Kasema inatumika hekima ya kiuchungaji,na ni swala la kibinadamu which means makosa hayakwepeki. ILA MSIMAMO WA KANISA UPO WAZI.
 
Nilichoandika kinatokana na mleta mada ya majibu yako wew wala sijatoka nje ya mada yyte
 
Mawazo ya papa sio mawazo ya kanisa.
Kanisa ni kubwa kuliko papa labda tu kama kasahau nguvu ya kanisa
 
Papa
Ingekua heri kama haina ukweli

Na ungefanya vyema kuleta uthibitisho hapa ili watu waelewe lipi ni lipi

Mimi binafsi nimeipata taarifa hiyo huku

View: https://www.instagram.com/p/Cx7dGTiNFhP/?igshid=MmU2YjMzNjRlOQ==
Hii ni fake News. Hawa walioandika hawajaandika kilicho ripotiwa bali wameandika wanachotamani kiwe. Taarifa hiyo wanaoisambaza wameitoa udaku special, na hata wao udaku hawajatoa link.


Angalia hiyo taarifa ya kiswahili uliyo nayo, halafu linganisha na hii
 
Mawazo ya papa sio mawazo ya kanisa.
Kanisa ni kubwa kuliko papa labda tu kama kasahau nguvu ya kanisa
Pole sana mkuu,naona umeamua kua mbunifu wa kujifariji na kilichosemwa na Papa,Papa ndio final say,nani wakumpinga?
 
Baada ya kuisoma hiyo taarifa unaweza ukaonyesha pale Papa au Kanisa limeruhusu hizo ndoa?
Kichwa cha habari na kilichoandikwa ni vitu viwili tofauti kabisa.
Au mnashangilia kwa kuwa ndiyo kitu mnachokitamani na kukip8gania huku mnajifanya mnakipinga.
 
Katika haya maelezo yote hapa, sijaona sehemu Papa ameruhusu ndoa za jinsia moja.

By the way, Papa hana mamlaka ya kuamua kitu chochote kile, pasipo kupitia kwenye michakato ya mamuzi ndani ya Kanisa.

Hivyo taarifa kama hii ni ya kupuuzwa. Na hata ikitokea Kanisa likaruhusu huo upuuzi, bado usitegemee kuona Wahafidhina ndani ya Kanisa wakihamia kwenye Uislam, Usabato, Ulokole, nk!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…