Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wagalatia hamuwezi kujadili issue za dini yenu tu bila kuingiza dini zingine?Ni sawa lakini dini kama dini ya ki islamu haitambui hayo mahusiano
Tangu lini dhambi ikabarikiwa?Aliongeza, hata hivyo, kwamba Kanisa bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute huyu papa ni chocolate wenzake wanambokoaNafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua mapenzi ya namna hiyo.
Poleni sana wakatoliki.
====
"Hatuwezi kuwahukumu ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga,"
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomuomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
Aliongeza, hata hivyo, Kanisa Katoliki bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.
Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya maombi yaliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na kiongozi wa kiroho, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
BBC
Kuna sehemu nimesoma, Papa hajaruhusu hilo jambo.Tate Mkuu alikua anakanusha wakati ule swahiba wa ubelgiji alipotetea hili jambo la ushoga akisema ati ni jambo praiveti
Hongereni mmeruhusiwa kufumuana malinda.Watoto wa kiislamu, wanaongoza kufumuliwa Jicho...
Kamwe Wahafidhina ndani ya Kanisa hatutakubaliana na huo ushetani. Siku ikitokea hao watu wakapata haki ya aina yoyote ile, aidha wengi tutaacha kusali! Au tutaanzisha Kanisa lingine la Katoliki lisilofungamana na hao watu.Kwani Tate Mkuu anasemaje?
Sawa Dada mwajuma.....Hongereni mmeruhusiwa kufumuana malinda.
Kama kawaida yako unatoka nje ya reli. Maelezo mengi ila out of context. KANISA LINASEMA NI DHAMBI NA HALITAMBUI MAPENZI YA JINSIA MOJA. Kasema inatumika hekima ya kiuchungaji,na ni swala la kibinadamu which means makosa hayakwepeki. ILA MSIMAMO WA KANISA UPO WAZI.Mkuu Acha zako bhna ubadili mwenendo kwa kupewa Baraka Ya kuozeshwa?...
Mkuu hiyo ni psychology ya aina gani.? Kupromote uovu kwamba unaweza ukaisha...
Kama ndiyo mawazo ya Papa hayo nasema kuwa washauri wake wa psychology wmemdanganya...
Huwezi kuruhusu Utumiaji wa mdawa eti ukiamini kwakuwa nimeruhusu watu wataacha kutumia watarudi kwenye njia nzuri Iz this even make Fu**# sense...
Hata yesu alipomkuta Mariam magdalena anadanya umalaya/Ukahaba hakumwambia kwamba nenda kafanye ili ukiwiwa ubadilike alimwambia nenda zako na usifanye dhambi tena na akakemea dhambi yake...kupongeza na kubariki dhambi hakuwezi kufanya dhambi hiyo ikaondoka
Papa siyo mjinga kiasi hicho. Maana anatambua fika ndani ya Kanisa kuna Wahafidhina wa kutosha.Hata mimi siamini mpaka nipate link au tuwaulize wazee wa Vatican GENTAMYCINE na Tate Mkuu mkuu watupe yanayoendelea katika vijiwe vya kahawa vya huko.
Nilichoandika kinatokana na mleta mada ya majibu yako wew wala sijatoka nje ya mada yyteKama kawaida yako unatoka nje ya reli. Maelezo mengi ila out of context. KANISA LINASEMA NI DHAMBI NA HALITAMBUI MAPENZI YA JINSIA MOJA. Kasema inatumika hekima ya kiuchungaji,na ni swala la kibinadamu which means makosa hayakwepeki. ILA MSIMAMO WA KANISA UPO WAZI.
Ingekua heri kama haina ukweli
Na ungefanya vyema kuleta uthibitisho hapa ili watu waelewe lipi ni lipi
Mimi binafsi nimeipata taarifa hiyo huku
View: https://www.instagram.com/p/Cx7dGTiNFhP/?igshid=MmU2YjMzNjRlOQ==
Hasira zako zipeleke kwa Papa aliyeruhusu ufumuliwe malinda,mimi siwezi kutengua kauli ya mkubwa wako,sawa choko mtarajiwa?Sawa Dada mwajuma.....
Msimamo wa papa sio msimamo wa kanisaHii nayo ikipita itakuwa inasomwa kila j2?
Pole sana mkuu,naona umeamua kua mbunifu wa kujifariji na kilichosemwa na Papa,Papa ndio final say,nani wakumpinga?Mawazo ya papa sio mawazo ya kanisa.
Kanisa ni kubwa kuliko papa labda tu kama kasahau nguvu ya kanisa
Huko ndiko wale Jamaa wa Kanisa Moja takatifu la mitume wamefikia.
Ni muda Sasa Waafrika kuwa na dini zenu ,hizi za Wazungu zinaambatana na mambo ambayo ni kinyume na Maadili ya Kiafrika.
johnthebaptist Naendelea kula popcorn 🍿🍿
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1709102085034135916?t=a5fb4p-fuB1HwHwnBtE_Cw&s=19
Katika haya maelezo yote hapa, sijaona sehemu Papa ameruhusu ndoa za jinsia moja.Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.