Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

Status
Not open for further replies.
Tunaambiwa kuwa huyu PAPA anachaguliwa kitakatifu, ...

Anaaminika hivyo kwa kuwa eti anaongozwa na roho mtakatifu ..

Tuendeleeni kuamini hivyo ..manake ktk kanisa ni kosa kuhoji mafundisho
 
Sasa hiyo kauli ina mtego gani hapo! Halafu unafikiri mimi ni mtu mwepesi tu wa kunibadilisha mtazamo wangu wa kiimani!! Aisee pole sana.
Subiri itapofikia time umebeba mtoto wako Abarikiwe.

Mbele Yako wapo mashoga na wafirahi wanasubiri wabarikiwe na mikono ya same padre atakayembariki mtoto wako.
 
Moderators hii thread isipotoshe alichokisema Pope! Anachokikataa ni kuwatenga hata wasiingie kanisani, wasiwe wakatoliki! wasiwe familia moja na wakatoliki. Siyo kuwa anabariki kuoana waume kwa waume au wake kwa wake

Pope Francis opens possibility for blessing same-sex unions​

He restated that marriage in the Catholic church is between a man and a woman.
ByKiara Alfonseca and Phoebe Natanson
October 3, 2023, 2:59 AM

Pope Francis opens possibility for blessing same-sex unions
In August, Pope Francis called on the hundreds of thousands gathered before him to yell t...Read More

Pope Francis suggested it may be possible to bless same-sex unions in a newly public response to cardinals who questioned the pope's affirmation of the LGBTQ community in the Catholic Church.

In the July letter, which is written in Spanish, he reaffirmed that "the Church has a very clear understanding of marriage: an exclusive, stable, and indissoluble union between a man and a woman, naturally open to procreation," according to the Vatican News.

However, he advocated for "pastoral charity."

Pope Francis delivers his blessing to the pilgrims during the Sunday Angelus prayer in St.Peter's Square at the Vatican, Oct. 1, 2023.

"The defense of objective truth is not the only expression of this charity; it also includes kindness, patience, understanding, tenderness and encouragement. Therefore, we cannot be judges who only deny, reject and exclude," he said, according to Vatican News. He added that "pastoral prudence must adequately discern whether there are forms of blessing, requested by one or more persons, that do not convey a mistaken concept of marriage.

New Ways Ministry, an LGBTQ Catholic outreach group, said in a statement that though his statement are not "a full-fledged, ringing endorsement of blessing their unions," it is a significant advancement in the inclusion of LGBTQ Catholics in the Church.
 
Attachments

  • 1696330359360.gif
    35 bytes · Views: 1
Subiri itapofikia time umebeba mtoto wako Abarikiwe.

Mbele Yako wapo mashoga na wafirahi wanasubiri wabarikiwe na mikono ya same padre atakayembariki mtoto wako.
Kwa namna unavyo uongelea huo ushoga, mtu anaweza kufikiri huko kwenye imani yako hakuna. Kumbe ndiyo wamejaa.
 
Tunaambiwa kuwa huyu PAPA anachaguliwa kitakatifu, ...

Anaaminika hivyo kwa kuwa eti anaongozwa na roho mtakatifu ..

Tuendeleeni kuamini hivyo ..manake ktk kanisa ni kosa kuhoji mafundisho
soma uelewe, usidakie mambo juu juu! Nenda kwenye andiko lake usome kama unaelewa kiingereza cha ndani...
 
Tunaambiwa kuwa huyu PAPA anachaguliwa kitakatifu, ...

Anaaminika hivyo kwa kuwa eti anaongozwa na roho mtakatifu ..

Tuendeleeni kuamini hivyo ..manake ktk kanisa ni kosa kuhoji mafundisho
Mnaambiwa na walimu wenu wa madrasa waliokimbia elimu dunia, au mnaambiwa na wale Masheikh wenu wanaofuga majini?

Nyoosha maelezo yako.
 
Kwa namna unavyo uongelea huo ushoga, mtu anaweza kufikiri huko kwenye imani yako hakuna. Kumbe ndiyo wamejaa.
Mimi ni mwamini katika Kristo Yesu.

Kiongozi lazima aongoze njia Kondoo wafuate.

Akitoka kwenye mstari kimbia haraka. Hizo dini za duniani hazitamvuliki Mbinguni.

Kusanyika na watu wenye Nia moja, mashoga wanahubiriwa na kuambiwa hiyo ni DHAMBI tubu muache,

Si kuwabariki. Hapo mmebanwa kwenye Kona.
 
Sasa hiyo kauli ina mtego gani hapo! Halafu unafikiri mimi ni mtu mwepesi tu wa kunibadilisha mtazamo wangu wa kiimani!! Aisee pole sana.
uelewa wa watu ni mdogo sana
mwambie asome document yote na si kuchukua analolitaka nusu nusu. Anasema tusiwatenge na kuwafukuza say kanisani..lkn hasemi tuwafungishe ndoa maana doctrine ya ndoa kikanisa inafahamikka..man and women for reproduction.
 
Kumbe na wewe some time mapenzi ya udini yana kutawala kila siku na kutizama kama member ambaye iko objective na kutumia reasoning and logic sio hisia.........kweli hapo unacho pinga ni nini au neno "possibility" ndo lina kuchanganya.......dude usituangushe.
 
Unapoteza tu muda wako pale unapojaribu kumhubiria mtu kama mimi.
 
Futa kichwa cha habari, wengi wanakurupuka kujibu bila kuangalia contents ndio maana wabongo wengi hufeli mitihani kwa jinsi hii, umeaambiwa hii ni dhambi na itaendelea kuwa dhambi usichoelewa ni nini hapo?
 
Soma uelewe possibility of blessing si kuwafungisha ndoa.... ni inclusion, kuwatambua kama wakatoliki pia wasitengwe na kunyimwa sacrament za kikatoliki....... siyo kuwa atawafungisha ndoa maana doctrine ya ndoa kikatoliki inajulikana........man and women for reproduction to propagate of human species
 
uelewa wa watu ni mdogo sana
mwambie asome document yote na si kuchukua analolitaka nusu nusu. Anasema tusiwatenge na kuwafukuza say kanisani..lkn hasemi tuwafungishe ndoa maana doctrine ya ndoa kikanisa inafahamikka..man and women for reproduction.
Hawa viumbe ni dhaifu sana. Na siku zote wanaishi kama fisi. Wakiamini waumini wa Kanisa Katoliki ni wengi, na pia ni rahisi kwao kushawishika, na hivyo kuingia kwenye imani yao kupitia upotoshaji kama huu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…