Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Una makombe mangapi ya Africa?

Una muwaza Al Ahly na Wydad na kikosi cha kina Akpan na Onyango?

Soo Fun!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapasukaaa bureeee
Khaaaaaaaah.
 
Hatimaye msimu umeisha na Simba tumefanikiwa kutoka na Treble ya Makombe

Ulikuwa msimu bora sana kwetu
 
Kwani sakho ana goli ngapi ligi kuu?
 
Timu bingwa nyingi za Afrika ZIMEBAKI NYUMBANI….!!! Mabinti ndo wanaweweseka nchi zingine. FUATILIA….!!!
 
Watu kama mtoa mada ndio wanafanya bangi ionekane madawa ya kulevya na kupigwa marufuku na serikali. Sasa ndo umeandika nini?
 
Kwa usiku huu dogo Sako mchezaji wwa Simba kaitangaza vizuri Tanzania kuliko royol tour ya mpemba,Safi Sana kijana
Hebu tuweke sawa ndugu msomi wa Havadi, ni RAYOR TOUR au royol tour?
 
Mbona naskia Mayele alifunga goli zuri kupita hilo kwenye mechi ya Yanga na Azamu ?
Kwani ligi kuu ya Tanzania haipo chini ya CAF ?
Hadi wasilione goli bora kama hilo na kuamuru lipigiwe kura ?
Mayele kapewa ng'ombe mambo ya Morocco hayamuhusu siyo level zake,tunachotaka ng'ombe anenepe. Sakho ndo habari ya Africa nzima na dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…