Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Mashabik wa simba wanafuraha sana furaha yao iko hivi

Mpole kuwa mfungaji bora
Hattrick ya Sopu
Manara kufungwa
Goli la sakho kuchanguliwa

Ila nawaambia 13.8.2022 maji mtaita mmaah
Kinyonge saaaana.
 
Kwahyo makolo wana makombe mawili ya CAF msimu uliopita. Kombe la robo fainali na kombe la Sakho
 
Mara nyingi tuzo ya Goal bora huwa inaenda kwa wachezaji wanaocheza timu ndogo na ambazo hazijulikani duniani
Oooh kumbe ndio mana hata tuzo la tff goli bora lilienda Kwa kile kitimu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…