Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Gang la wachawi kama Hilo hakuna hasiyelijua mkuu, ukienda South Africa Unazungumzia Simba wanajua ndo Timu inayologa uwanjani tena bila aibu kuliko zote duniani.. Hadi imegongwa faini, kwa uchawi ule sidhani kama Kuna Timu Africa hii itakubali kucheza michuano ya CAF na Timu Chawi kama Simba.. Makolo mjiandae kukataliwa na Kila Timu Africa hii
Mane, Okocha, Cisse, Etoo na ukumbi mzima wanajua Simba ni nani
 
Hukosekani kwenye hizi vagi[emoji23].
 
Mara nyingi tuzo ya Goal bora huwa inaenda kwa wachezaji wanaocheza timu ndogo na ambazo hazijulikani duniani
Sasa kama Simba Sc iliyotajwa sana jana kwenye ule hafla kubwa ya kimpira haijulikani, vipi hiyo Yanga Sc?
 
Sio lazima useme kuwa wewe ni shabiki kindaki wa mnyama ili ueleweke, mawazo yako tunaweza kuyapokea hata kama utakiri kuwa wewe ni Yanga , jiamini tu.[emoji23]
 
Hatimaye msimu umeisha na Simba tumefanikiwa kutoka na Treble ya Makombe

Ulikuwa msimu bora sana kwetu
Hii issue inekuuma sana aiseeh, kila ukichungulia huu uzi unaweka comment ya kulialia ukitegemea support kutoka kwa uto wenzako, ila ndo hivyo huipati kwasababu huu ni wamoto na uto wenzako hawausogelei kabisa , na watu wanavyokupuuza basi ndo unajiona mavi kabisa.

Mwanayanga pekee anaeweza kushinda humu ni yule mwenye utindio wa ubongo tu, asiyejua maana ya aibu.
 
Utajuaje kama HAWANA KELELE wakati unaangalia ukiwa sebuleni kwako…!!! Hapa nilipo watu wameshangilia mpka kuvunja chupa za bia
Wana Simba Sc wamekupa ofa ya bia (tena Lite za wadada) ila uto usivyokuwa na shukurani umekuja kuwaanika na kuwanafikia huku, hivi ni lini mtabadilika nyinyi?
 
Kama timu yako haijawahi kutoa hata mkaanga maandazi bora wa CAF BASI JUA HIO NI JUMUIYA YA WATU WA UPINDE WA MVUA.

IKIKUUMA NJOO TUPIGANE NIMEKAA PALEE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…