Hivi Pascal Mayalla ndo aliemtuma Erick kuandika huko The Economist ?.Kina Zitto na Membe ndo wanaomtuma hao ndo waliomponza.Eti mwandishi wa habari za kiuchunguzi ? Uchunguzi gani wakati alikuwa anasubiri Rais aongee ndo yeye achambue hotuba in a negative way. Nimesoma maandishi yake yote kule The Economist hakuna habari ya uchunguzi zote ni against projects anazofanya JPM mara eti Rais anapenda mega projects alitaka apende minor projects ? Haya kina Zitto wakamsaidie na kunyea ndoo huko Segerea.
Anafanana kabisa. Usimchanganye na Sky Eclat. Huyu ndio zake haswa. Ni yeye mwenye kulazimisha tabasamu. Matokeo yake sura mshupao. Huyu ni binti Adam, mnyama kama mwingine tu. Anakosa kabisa utu. Binadamu + utu = mtu. Huyu ni mjukuu tu wa Adam. Utu anapishana nao sana. Shule kama kaenda. Hakubahatika kuelimika! Hujitoa ufahamu sana. Anatafutwa kuokotwa jalalani na kichaa!Hufanani kabisa kuuliza swali hili.
Napenda uwe binadam.
Je wanaowateka, kuwatesa, kuwamiminia risasi na hata kuwapoteza/kuwaua wenye mawazo tofauti unawaweka kundi gani?
Aisee!!!Hapo nimejikontrol...! ulitaka niandike upendavyo ww au?
Hahahaha Kabisa PASKALI Smart Sana.Paschal ukimsoma kiundani unaweza kumuunganisha na Kabendera kwenye uchochezi.!
Hata hivyo Mayalla atakuwa amefurahi sana kwa jinsi mleta mada alivyomchukulia.
Awamu hii ambayo inatupeleka vifua wazi tukiona jinsi nchi inavyoenda kwa kasi katika kujenga miundombinu.Duuuuu, mkuu inaonekana umempania ile mbaya, hiyo nguvu yako ni ya muda wote au ni kipindi cha awamu hii tu? Inaleta burudani ya aina yake.
Anyway mtu mweusi ni toleo la mwisho kwenye uumbajiWho's Fredrick Kabendera ?
Ukiona hivyo anarukiwa na wauajiHufanani kabisa kuuliza swali hili.
Napenda uwe binadam.
Unafki ni janga kubwa kama umeshindwa kusoma ulijuaje kama zimechanganywa R na lHuu ni upuuzi na nimeshindwa kusoma kwa sababu unachanganya r na l,
MAYALA kama jina lake, ni watu wa njaa njaa tu, hawana msimamo, huyu siyo yule MAYALA aliyemlima jiwe maswali ya akili, nilimheshimu sana, kumbe zilikuwa njaa tu kama alivyo sema mheshimiwa raisiHili linatoka moyoni mwangu, KAMA KUNA MTU MKABILA, MKABILA, ALIYETUKUKA NI Pascal Mayalla, A Tribalist and defined as : an advocate or practitioner of strong loyalty to one's own tribe or social group.
Pascal haoni doa lolote katika Jiwe, anamuona kama malaika Gabriel! Huyu naye akiwa Rais uwaja wa ndege utajengwa chooni kwake (if that could be possible anyway, he can dare do that!).
Mayalla namuheshimu sana enzi zake kabla ya Jiwe, sasa siye kabisa.
Kama kweli zile makala za economist ziliandikwa naye, ni haki kula jeuri yake. Ukimdhalilisha Rais wa nchi yako ni uhaini. Ni haki kubanwa.
Ha ha haaa maana stone anafuatiliaHii attention mnayotoa kwa Paschal, sitashangaa Paschal akila shavu
Wewe unaona kutumika na mabeberu kuichaifua nchi na rais wetu kipenzi kwa upande vya shekeli, ilikuwa ni sahihi?
Kama mawazo yangu ni ya kipuuzi basi mawazo ya kipuuzi ni muhimu kuliko mawazo ya nyie mnaojiona ni werevu lakini majuha.Hata kipindi cha ukoloni watu wapuuzi kama nyie mlikuwepo!
Basha wako wa kwanza
Mbona sijaona ulichoandika hapo kumtuhumu huyo pascal?
What if walidukua mawasiliano ya Kabendera?
Lakini pia kumbuka kashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wacha due process of law iamue.