Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Wew umekuwa mgeni na nchi mpaka unashangaa kumtumia rais ili aipate passport yake?
Au unadhani yupo kule kwa kupenda kwake?
Hoja za humu ni kiboko mtu anaanzisha uzi wa kutaka kujua passport ya mtu mwingine ambae mazingira yake ya kisiasa yanajulikana...ndio maana Wakenya wapo busy kuutangaza Mlima kilimanjaro upo Kenya sisi na hoja za kijinga jinga tuu..
 
Wew umekuwa mgeni na nchi mpaka unashangaa kumtumia rais ili aipate passport yake?
Au unadhani yupo kule kwa kupenda kwake?
Passport hazipaswi kutolewa kutokana na mapenzi au matakwa ya mtu binafsi.

Zinapaswa kutolewa kulingana na vigezo vilivyowekwa kisheria.
 
Nchi imepoa san arudi tu mapem, kuhusu utaratibu wa passport lbd yeye kaona ndio njia ya kujihakikishia usalama zaidi.
 
Issue siyo utaratibu wa kuomba passport, issue ni nani anayeomba. Kwa akili ya kawaida wewe ungekuwa ofisa pale uhamiaji akaja TAL kuomba psport ungemjazia makaratasi na kumuwezesha kupata passport kirahisi tu.
Naamini haitokuwa rahisi na hakuna mtumishi yeyote uhamiaji angechukua hiyo risk, labda Dr mwenyewe
 
Ww bb kizee tafuta wa kumalizia uZee huo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje kama hakutoa taarifa

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Nyie kumbe hamumjui mr belgiji!

Yule kanogewa na amterdam kwahiyo hataki kurudi.

Hiyo ya kusema pasport imepotea ni gia tu ili awe anasema sirudi sababu sijapewa pasport yangu,!

Hivi mtu anamuamrisha rais amkaribishe nyumbani, kwani alipokuja akazurura mwezi mzima kwenye kampeni alikaribishwa na nani?
 
Elimu ya kutosha labda kichwa kiwe tikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…